Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

Quran ina sisitiza Waislam wawachinje Waisrael na Wakristo wote Duniani😭So akutokuja kuwa na amani katika Dunia hii kwa muda mrefu ujao.Iran anadharua ata Waislam wenzake na anatamani siku moja Dunia yote Isilimu na kufuata Uislam anaouamini yeye.Anatama awe kama Saud Arabia Siku moja.Anaamini kwa kimiliki Mabomu ya Nyukilia Dunia mzima wakiwemo USA na Israel itamsujudia kama vile Yusufu alivyo Sujudiwa na kaka zake.Aitotokea hilo anapoteza Muda na mabilioni ya pesa ($) kuendeleza ujinga na kufadhiri Magaidi kote Duniani.Ayatola baada ya kuwa mstari wa Mbele apigwe kombora afe awahi Bikraz anajificha Mashimoni kama Panya😂😂
Ndugu mbona hii hatari na hilo bichea lako
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.

Dah yani unaandika kama umepiga double kiki ukachanganya na banana
 
Trump anajiweka katika list ya maraisi Bora WA marekani kuwahi kutokea...Umoja WA kishoga WA ulaya huwa haujui kuchagua vita sahihi ya kupigana...Russia ni nchi kubwa inayotafuta maslahi na haiwezi kuwa nchi ya kinyonge...Wanyonge wa kupigwa,,kuibiwa na kupangiwa ni waafrika na waaràbu...
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Marekani na Israel ni kitu kimoja
 
Ndugu mbona hii hatari na hilo bichea lako
وَٱقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُم مِّنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمْ ۚ وَٱلْفِتْنَةُ أَشَدُّ مِنَ ٱلْقَتْلِ ۚ وَلَا تُقَـٰتِلُوهُمْ عِندَ ٱلْمَسْجِدِ ٱلْحَرَامِ حَتَّىٰ يُقَـٰتِلُوكُمْ فِيهِ ۖ فَإِن قَـٰتَلُوكُمْ فَٱقْتُلُوهُمْ ۗ كَذَٰلِكَ جَزَآءُ ٱلْكَـٰفِرِينَ ١٩١
 
Upo Zako Kasamwa Geita Huko Unatazama Milima Ya Dhahabu Inasombwa Na GGM
Halafu Kuchambua Vita Vya Israel vs Iran/Ukraine vs Russia
 
Upo Zako Kasamwa Geita Huko Unatazama Milima Ya Dhahabu Inasombwa Na GGM
Halafu Kuchambua Vita Vya Israel vs Iran/Ukraine vs Russia
Kwani wewe si Mtanzania?? Lianzishe basi tukuunge mkono.keyboard warrior
 
Kwenye Uislam.anaetakiwa kupumua chini ya Jua ni Mwislam pekee Shekhee! So kama wewe sio Mwislam pole sana

Kabisa. Hii Dunia itabaki na waislamu tu ndo itapendeza na kuwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi na kisayansi
 
Back
Top Bottom