Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

Kwa holiyo Radar za jeshi na askari walilala pia
 
Attachments

  • IMG_20250620_174331.jpg
    IMG_20250620_174331.jpg
    379.6 KB · Views: 23
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Hujui mbinu za kijeshi upumbavu tu huo unaongea hata Tz hapa KUNA RADA ZAIDAI YA MBILI MASAA 24 ZIPO ON na sehemu muhimu inalindwa muda wote mfano AMARA ni sehemu Yenye silaha Kuna AMARA ZA KILA KAMBI NA AMARA ZA HAZINA muhimu kabisa hata ukilusha unyoya wataufatua
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Una elimu gani ya kijeshi ,tuanzie hapo kwanza. Maana naona kama hujui mbinu za kijeshi ila unataka watu wakuelewe. Bro soma sana ujue night attack kwa nini hutumika
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Kweli huo ni uonevu dhahiri, yaani unavizia askari wamelala vitani halafu unawalipua? Wangewaamsha kwanza ndo waanze mapambano kama wao ni wanaume kweli. Marekani hawana akili hawa.
 
Kweli kabisa! Wangeewaamsha wakawasubiria waoge,waswali Kisha wawape ruhusa ya kuchukuwa Binduki zao .ndo waanze Vita..yaani ni uonevu mkubwa sana kwa kweli
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Ulinzi wa nchi unalala kumbe..? Sema kobazi hata hamfikiriagi kwa kweli. Hapo umedhihirisha kuwa nyinyi ni kobazi wavaa pedo
 
Hata za Israel zinategea wairan wakiwa wamelala au wanakula ndo zinaenda kupiga. Ziende wakiwa wapo kwenye ulinzi zione itakuaje.
Analogy ya kitoto kabisa, mtu yoyote anayofaham mambo ya kijeshi, nchi haendi kula yote kwa wataki mmoja, nchi hawalali wote

Ndio maana kuna zam na shift majeshini na idara muhimu? Mkilala wote nani anailinda nchi?
Mkienda kula wote kw awakati mmoja nani anailinda nchi?

Kula wanakula masaa 24 au?

Bro kasome tena
 
Ndugu utaumia bure, Iran haitaweza shinda hiyo vita na Israel, Vita ni pesa, Tazama uchumi wa Israel vs Iran. Pia USA haiwezi ogopa Iran kwa lolote, hata aki pata support ya China na Russia bado atashindwa. Bora kuwekeza nguvu nyingi kutafuta pesa na kusaidia Familia kuliko kuwa Iran kuwa atashinda hii kitu, utaumia roho bure....
 
Kweli huo ni uonevu dhahiri, yaani unavizia askari wamelala vitani halafu unawalipua? Wangewaamsha kwanza ndo waanze mapambano kama wao ni wanaume kweli. Marekani hawana akili hawa.

Marekani hawana akili na hawana nguvu. Wanavizia wenzao wamepumzika ndo wanaenda shambulia. Marekani hamna kitu kabisa mbwa hawa. Waende mchana sasa au wawaamshe kabla waone cha motom
 
Imebanika kuwa hzi ndege zilienda usiku wakati waIrani wamelala. Nlitaka kushangaa zimeingiaje mle ndani bila kudhibitiwa? Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala. Wakalipua wakakimbia.

Tunawataka kama wao wapo imara waende mchana wasivizie usiku. Waende wakachakaze tena maeneo mengine mchana. Iran inasema itakuja tu kurudisha hasara yote huko mbeleni. Na itaendelea kushambulia raia wa Israel hata kama watapigwa na kuuawa viongozi wao.
Nchi iko vitani wanajeshi wanalala! Hili nalo ni tusi kwa Wairan.
 
Kama halilali zile ndege zinaingiaje na kutoka bila kuonwa? Wewe hujui kitu
Zina inbuilt anti radar mechanism ambapo adui hawezi kuziona. B-52 Stratofortress has built-in anti-radar mechanisms designed to reduce its detectability and counter enemy air defenses
 
Kumbe walienda kwa kunyata wakati wenzao wamelala.
Eti kunyata. Ulishasikia kitu kinaitwa stealth? Hata kama ni mchana hukioni. Tena hii midude ya $ bilioni mbili kila moja stealth yake imekuwa upgraded. Yaani Ayatollah hawezi kuiona ikimjia na inabeba kila aina ya silaha ikiwemo mitungi fulani hivi inaitwa bunk busters. Yaani hata ujichimbie vipi ardhini itakufikia tu hata ufanyeje.

Kwa hivyo siyo kunyata. Watu wamewekeza. Imagine Tsh trilioni karibia 5 ndege moja...

20250622_141604.png
 
Back
Top Bottom