Si walisema wameangamiza kabisa vinu vya nyuklia vya IRAN? vipi tena Mwaisa

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran:

Kuanza tena mazungumzo na Marekani, kuruhusu wakaguzi wa Umoja wa Mataifa kuingia kwenye mitambo yake ya nyuklia, na kueleza kinagaubaga juu ya tani nyingi za urani iliyorutubishwa hadi kiwango cha hatari. Hata hivyo, Iran imekataa masharti hayo.

FB_IMG_17562419095998466.jpg
 
Tatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
 
Mwaisa walikutoa ubongo hawakuridhika wakakutoboa na macho kabisa... Wenye chuki ni Iran au ni hao wanaoionea wivu Iran yenye uchumi imara na nguvu za kulinda uchumi wake?
 
Mvutano kati ya Iran na mataifa matatu ya Ulaya — Ufaransa, Ujerumani na Uingereza maarufu kama E3 — umeongezeka baada ya mataifa hayo kutishia kurejesha vikwazo vyote vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Mataifa hayo ya E3 yametoa masharti matatu kwa Iran:

Kuanza tena mazungumzo na Marekani, kuruhusu wakaguzi wa Umoja wa Mataifa kuingia kwenye mitambo yake ya nyuklia, na kueleza kinagaubaga juu ya tani nyingi za urani iliyorutubishwa hadi kiwango cha hatari. Hata hivyo, Iran imekataa masharti hayo.
Ulaya tayari imesalim amri kwa Trump,chochote inachofanya sasa ni kwamuongozo wa Marekani!.mataifa hayo makubwa ya Ulaya,France,England na German tayari yapo kwenye mazungumzo na Iran. Chakushangaza zaidi mazungumzo yao si yakutafuta muafaka bali kuishinikiza Iran irudi ikazungumze na Marekani. Huku ni kujidhalilisha kwa Ulaya.
 
Tatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
IRAN kahatarisha maisha ya nani?tuambie nchi yoyote duniani iliyowahi kuanza kutishiwa na IRAN amka kizani wewe YUVISISIEMU

ulaya na marekani ndo vyanzo kutoweka kwa amani,magonjwa ya ajabu na umasikini sehemu nyingi duniani,ndo wafadhili wa vita zote duniani,ndo waasisi wa vikundi vyote vya kigaidi duniani...huyo aliyekulisha matango pori kuhusu IRAN mfate mtie dole hata km ni mzazi wako

zunguka afrika yote uliza walishawahi kuathirika vp na IRAN pengine watakujibu hawajui lolote kuhusu IRAN,nenda amerka kusini watakujibu the same....hapo ulaya na marekani kila siku wanapambana na IRAN sababu za maslahi,wameshindwa kuifanya IRAN kuwa km afrika na sehemu zingine wanazozitawala kifikra
 
Tatizo liko wapi kwani? Issue ni kwamba iran iachane na issue zake za kuhatarisha dunia, Watu wanataka Iran waishi kama binadamu wengine waachane na issue za Chuki. yaani too much hate hate hate domo kaya
Iran akiachana na huu mpango wa nuclear amekwisha,hatobaki salama. Rejea: Sadam Hussein walimwambia ivoivo akavunja Yuko wap Leo? Gadafi kavunja akafikiwa,Syria walivunja wakafikiwa huu mpango ndiyo usalama wa Iran wazungu hawataki uwe juu kiteknolojia au kiuchumi halafu ujitegemee bila ya msaada wao. Saudia,Qatar,Jordan wapo salama kwakua wamekubali kuwa vibaraka Iran kama atavunja akubali kuwa kibaraka lkn kama misimamo yake ni hii atakwenda kama walivyokwenda kina Gadafi na Sadam
 
Ulaya tayari imesalim amri kwa Trump,chochote inachofanya sasa ni kwamuongozo wa Marekani!.mataifa hayo makubwa ya Ulaya,France,England na German tayari yapo kwenye mazungumzo na Iran. Chakushangaza zaidi mazungumzo yao si yakutafuta muafaka bali kuishinikiza Iran irudi ikazungumze na Marekani. Huku ni kujidhalilisha kwa Ulaya.
Hili jambo linafikirisha sana.
Urusi anataka multipolar world ila Ulaya kwa kudhani na yeye ana sauti kwenye meza ya maamuzi anamfanyia uhuni Urusi kwa kumsapoti Marekani. Anakuja kujua mwisho wa siku naye hana nafasi kwenye meza ya wakubwa wa dunia.
 
Back
Top Bottom