Rais Trump amesaini amri ya kuiondoa Marekani kwenye uanachama wa Shirika la Afya Duniani (WHO)

 
JPM amekopa pesa nyingi sana, deni la taifa limeongezeka exponentially wakati wa jpm. Hili halifahamiki sababu ukopaji wakati wa jpm ulikuwa wa kihuni anakopa bila kulihusisha bunge. Rais wa hovyo kuwai kutokea ulimwenguni
Ni ngumu sana kuhojiana na mtu anayeamini katika conspiracies zisizo na kichwa wala miguu; na anayejiropokea tu bila ushahidi wala uthibitisho wo wote. Maana kila mtu anaweza tu kuropoka cho chote!

Kwa jinsi anavyochukiwa na wanavyojaribu kufuta kila kitu alichofanya na kubebeshwa kila lililo baya angekuwa kweli kakopa matrilioni kimya kimya kama unavyodai mbona yangekuwa yameshawekwa wazi? Na kama aliyatumia hayo matrilioni kutujengea miundombinu na amenities zote alizotuachia kuna ubaya gani? Hawa wanaokopa kila leo na wako bize kula kulingana na urefu wa kamba zao ndiyo mashujaa kwako?

Tuishie hapa mkuu.
 
Umeandka pumba tu ninachojua magu hakuwa kiongoz kbs alitanguliza uccm wake mbele kuliko maslahi ya taifa hli, ndiye chanzo cha bunge la chama kimoja bunge takataka kbs yule hakuwa kiongoz alikuwa anakopa mamikopo kwa alokuwa akiwaita mabeberu halafu anadanganya watz eti pesa ya ndani, kila aliyemkosoa alimpakazia kukosa uzalendo au kutumiwa taifa hili chn ya ccm hakuna jipya
 
Tatzo ww unamtetea magu kwa maslahi ya ukabila si maslahi ya tz na watz
 
Siyo kwamba zako hizi ndiyo pumba sikweadi mkuu? Hata kama alikopa hizo pesa huoni zilivyotumika mpaka kuanza kuibadilisha nchi yetu?

Watu mlioguswa na hekaheka zake ni sawa kuwa na chuki hizi. Mnafikiri maendeleo huwa yanakuja tu kama upepo. Maendeleo - hata ya kwako peke yako yatakuja na maumivu; na hakuna kubembelezana. Unafikiri hata huko walikoendelea waliendelea wakiwa na demokrasia hii (uchwara)? Waliendelea wakati wa tawala za kisultani, kifalme na kimalkia. Na kutawala dunia nzima, plundering na kuua. Mmeletewa hii demokrasia uchwara ya Kimagharibi hii na bila kutambua kuwa ni mtego mwingine, mmeingia mkenge.

➑️➑️➑️ Afrika inahitaji viongozi angalau 30 tu dizaini ya Magufuli, Kagame na yule dogo wa Burkina. Wape miaka 30 wafanye wanachotaka halafu waondoke. Watakuachia bara lililovuvumka kimaendeleo, jeuri na lenye kujitambua na ambalo halitanyonywa tena kiboya
 
Tatzo ww unamtetea magu kwa maslahi ya ukabila si maslahi ya tz na watz
Usiende huko kwenye ad hominem attacks na vitu ambavyo havina hata mantiki mkuu. Ukabila unaingiaje hapa? Yaani katika hoja yangu yote wewe ume-infer ukabila tu?

➑️➑️➑️ Ni kweli Magufuli hakujali maslahi ya Tanzania na Watanzania?😳😳😳

Sad!
 
Naam
 
Ila Trump anaipenda sana Marekani.

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Endeleeni kubwabwaja tu ila JPM kumsema vibaya mnatukosea sana sisi wazalendo. sasa ipo siku ntaunda chama binafsi na ntachukua form ya urais then ntatumia picha tu ya JPM tuone mgombea gani anaweze kushinda mbele ya picha ya JPM. muwe mnaacha uwendawazimu bhn. ukiachana na father of nation Tanzania haijawahi pata raisi kama JPM. Tena msituvuruge kbsa kazi kuamshiana machungu tu...Hamuoni watu wanavokuwa wakali mkimsema vibaya jaribu kupitia hata comments tu, mtakuja muuwawe...
R.I.P JOHN POMBE MAGUFULI.
WE MISSED YOU DADDY.
 
China anatumia sana rushwa kwa viongozi na bodies za haya mashirika.
 
Kila mtu ababe zigo lake.

Watu watombane hovyo hovyo halafu zigo abebeshwe China na Marekani huu ni upuuzi.

NATO jiwe lao linakuja wajiandae Trump hataki kuona Marekani ikijibebesha mizigo ya kulea wengine nchi za ulaya nazo zijiandae kisaikolojia
 
Angekuwa anajari asingeweka mbele uccm wake akawa anadanganya watz kwmb wapnzan ndo wanaomchelewesha sjui kwa lipi hasa kumbe jtu ni liongo tu alijari mavitu tu si maisha ya watz muongo mkubwa yule
 
Angekuwa anajari asingeweka mbele uccm wake akawa anadanganya watz kwmb wapnzan ndo wanaomchelewesha sjui kwa lipi hasa kumbe jtu ni liongo tu alijari mavitu tu si maisha ya watz muongo mkubwa yule
Anajifanya anapigania wanyonge wakati ndiye alikuwa Mnyongaji mkuu wa Mifumo ya nchi, anajifanya kupinga Rushwa wakati ndiye alikuwa mhongaji mkuu hadi wapinzani aliwahonga na kuwanunua, rushwa za matrafiki aliita ni hela ya brash.
Alipinga wapinzani na kudai wanamchelewesha wakati alitenga kabisa fungu la kuwanunua na kuwapa nafasi serikalini kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…