Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Tutafute njia mbadala,badala ya karanga,tutumie kunde.Wamejitoa!?!?sasa ARV itakuwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafute njia mbadala,badala ya karanga,tutumie kunde.Wamejitoa!?!?sasa ARV itakuwaje?
Trump siyo mtu mwema, hajali usalama wa watu wengine duniani.Tayari pameshaanza kuchangamka..wale tuliozea dezo huu ndio mwisho
Weka takwimu.
Usibwabwaje tu kisa ulikosa ajira za ualimu
Official data please. Sasa hayupo na kama kweli aliongeza deni la taifa exponentially, bila shaka data zitaonyesha hivyo.
➡️ 1. Alilikuta deni la taifa likiwa trilioni ngapi?
➡️ 2. Kwa miaka 6 aliyokaa madarakani aliongeza trilioni ngapi katika deni la taifa i.e. aliacha deni la taifa likiwa trilioni ngapi?
➡️ 3. Kwa sasa deni la taifa ni trilioni ngapi? i.e. limeongezeka kwa trilioni ngapi
Mengine yote uko sahihi maana kila mtu is entitled to his opinions. Na jamaa alijijengea maadui wengi sana - wenye vyeti feki, wahujumu uchumi, mafisadi na majizi ya mali za taifa, maajenti wa mabeberu, wakwepa kodi, wababaishaji...and the list goes on and on....
Ni ngumu sana kuhojiana na mtu anayeamini katika conspiracies zisizo na kichwa wala miguu; na anayejiropokea tu bila ushahidi wala uthibitisho wo wote. Maana kila mtu anaweza tu kuropoka cho chote!JPM amekopa pesa nyingi sana, deni la taifa limeongezeka exponentially wakati wa jpm. Hili halifahamiki sababu ukopaji wakati wa jpm ulikuwa wa kihuni anakopa bila kulihusisha bunge. Rais wa hovyo kuwai kutokea ulimwenguni
Now we are talking. Hii ni miaka 6. Alikopa trilioni 36 na kufanya maajabu. Mama kaongeza tu trilioni tungapi tangu aingie?
Umeandka pumba tu ninachojua magu hakuwa kiongoz kbs alitanguliza uccm wake mbele kuliko maslahi ya taifa hli, ndiye chanzo cha bunge la chama kimoja bunge takataka kbs yule hakuwa kiongoz alikuwa anakopa mamikopo kwa alokuwa akiwaita mabeberu halafu anadanganya watz eti pesa ya ndani, kila aliyemkosoa alimpakazia kukosa uzalendo au kutumiwa taifa hili chn ya ccm hakuna jipyaWeka takwimu hapa. Kwa miaka sita aliyokaa madarakani JPM alikopa trilioni ngapi; na kuliacha deni la taifa likiwa trilioni ngapi? Na mama kwa hii miaka michache tu aliyokaa madarakani amekopa trilioni ngapi; na kulipaisha deni la taifa mpaka trilioni ngapi? Ukizipata hizo takwimu utarudi ufute comment yako kama wewe ni mkweli na mwenye dhamira safi isiyotawaliwa na chuki binafsi.
Iko hivi: Kwa nchi zetu hizi huwezi kuziendesha bila kukopa maana uchumi wetu ni legelege sana. Suala ni kwamba unakopa ili ufanyie nini? Kama hukuona hizo trilioni chache alizokopa JPM zilitumika kufanyia nini basi tena....
➡️➡️➡️ Pamoja na kukopa kwake jambo kubwa ambalo alilifanya JPM ni zile jitihada zake za kujaribu kubadili fikra za watu polepole na kuona kuwa wana raslimali za kutosha kujiletea maendeleo kama wakizitumia vizuri. Wengi mnataka mabadiliko ya fikra - Kuwa na umma wenye falsafa ya ukombozi na kujitambua. Oooh miafrika mijinga haijitambui ndiyo maana bara tajiri sana lakini myenyewe ni masikini ya kutupwa. Mnafikiri kwamba kubadilisha fikra za watu, mitazamo na falsafa zao ni jambo rahisi kama kupiga kope kumbe ni kazi ngumu na yenye kuhitaji hata vizazi kadhaa. Na kweli Watanzania walikuwa wameanza kuona mwanga - wa kifikra na kimtazamo tu.
Angalau kwa hilo tu anastahili kupewa maua yake na wachache waliojaribu kumwelewa!
Pole kwa kukosa ajira za ualimu wakati wa JPM. Mama anaajiri walimu 14K mwaka huu. Nakuombea uwe mmoja utakayebahatika kupata kati ya waombaji 250K walioomba.
➡️➡️➡️ Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Tatzo ww unamtetea magu kwa maslahi ya ukabila si maslahi ya tz na watzNi ngumu sana kuhojiana na mtu anayeamini katika conspiracies zisizo na kichwa wala miguu; na anayejiropokea tu bila ushahidi wala uthibitisho wo wote. Maana kila mtu anaweza tu kuropoka cho chote!
Kwa jinsi anavyochukiwa na wanavyojaribu kufuta kila kitu alichofanya na kubebeshwa kila lililo baya angekuwa kweli kakopa matrilioni kimya kimya kama unavyodai mbona yangekuwa yameshawekwa wazi? Na kama aliyatumia hayo matrilioni kutujengea miundombinu na amenities zote alizotuachia kuna ubaya gani? Hawa wanaokopa kila leo na wako bize kula kulingana na urefu wa kamba zao ndiyo mashujaa kwako?
Tuishie hapa mkuu.
Weka had 2024...
Siyo kwamba zako hizi ndiyo pumba sikweadi mkuu? Hata kama alikopa hizo pesa huoni zilivyotumika mpaka kuanza kuibadilisha nchi yetu?Umeandka pumba tu ninachojua magu hakuwa kiongoz kbs alitanguliza uccm wake mbele kuliko maslahi ya taifa hli, ndiye chanzo cha bunge la chama kimoja bunge takataka kbs yule hakuwa kiongoz alikuwa anakopa mamikopo kwa alokuwa akiwaita mabeberu halafu anadanganya watz eti pesa ya ndani, kila aliyemkosoa alimpakazia kukosa uzalendo au kutumiwa taifa hili chn ya ccm hakuna jipya
Usiende huko kwenye ad hominem attacks na vitu ambavyo havina hata mantiki mkuu. Ukabila unaingiaje hapa? Yaani katika hoja yangu yote wewe ume-infer ukabila tu?Tatzo ww unamtetea magu kwa maslahi ya ukabila si maslahi ya tz na watz
hahahahah umejua kunichekexha chiefHivi hii tabia ya mama Yako kusimamia na wageni ikulu uku amewashika mikono miwili ujue mimi uwa inanitia wivu sana
NaamSAhihi kavisa.
Nipo D.C sa huu, nimekutana na MAGA operatives, banasema hivyo hivyo.
Wanasema, miaka mia moja tu iliyopita tulikuwa tukitumia dawa asili ama mitishamba, ila kwa sababu hawa "Pharmaceuticals Industrial Complex" Magonjwa yameongezeka kutokana na kemikali zilizomo ndani za madawa.
Alinichekesha aliposema, his words
' they have been shaming us' akimaanisha hawa PIC kwa kusema ' stop using natural ingredients from sharmans' wakidai zinaua lol, wakati dawa zao ndizo zinazofanya watu wafe.
Alisema, wanatengeneza madawa yasiyotibu ili urudi kununua. In short, Imekuwa Biashara.
Ila Trump anaipenda sana Marekani.Rais Donald J. Trump ametia saini agizo la kuiondoa Marekani kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO) 20 Januari 2025, muda mfupi baada ya kuapishwa kwake
Uamuzi huu umezua mjadala na wasiwasi mkubwa miongoni mwa wataalam wa Afya duniani.
Rais Donald Trump alitaja sababu kadhaa za Marekani kujiondoa kwenye Shirika la Afya Duniani (WHO). Moja ya sababu hizo ni tofauti katika michango ya Kifedha, akibainisha kuwa China pamoja na Idadi kubwa ya watu(population over a billion) inalipa karibia US$40 millioni wakati Marekani yenye idadi ndogo inalipa zaidi ya US$400 millioni.
Source:USAToday.
=======
My take
Tuamke.
Kwa hiyo mkuu tujiari sasaKuna utitiri wa mashirika kibao,ambayo hutegemea pesa za US AID,lengo kubwa ni upigaji tu..na kulipana posho
China anatumia sana rushwa kwa viongozi na bodies za haya mashirika.Likija swala la uchangiaji kwenye mashirika ya kimataifa, China huwa inajiweka kwenye kundi la nchi zinazoendelewa sawa na Tanzania. Hata mchango inaotoa mara nyingi huwa specifica kwa mambo yanayoihusu yenyewe, haingizi hela kwenye pool.
Pamoja na yote hayo, bado China ndiyo imeteka influence ya WHO, viongozi wa WHO huwa na wepesi kwenye mapendekezo or interests za China na kupuuza wengine.
Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwahi kuinya kuhusu hili, lakini hakueleweka.
Kila mtu ababe zigo lake.Likija swala la uchangiaji kwenye mashirika ya kimataifa, China huwa inajiweka kwenye kundi la nchi zinazoendelewa sawa na Tanzania. Hata mchango inaotoa mara nyingi huwa specifica kwa mambo yanayoihusu yenyewe, haingizi hela kwenye pool.
Pamoja na yote hayo, bado China ndiyo imeteka influence ya WHO, viongozi wa WHO huwa na wepesi kwenye mapendekezo or interests za China na kupuuza wengine.
Katika awamu yake ya kwanza Trump aliwahi kuinya kuhusu hili, lakini hakueleweka.
Angekuwa anajari asingeweka mbele uccm wake akawa anadanganya watz kwmb wapnzan ndo wanaomchelewesha sjui kwa lipi hasa kumbe jtu ni liongo tu alijari mavitu tu si maisha ya watz muongo mkubwa yuleUsiende huko kwenye ad hominem attacks na vitu ambavyo havina hata mantiki mkuu. Ukabila unaingiaje hapa? Yaani katika hoja yangu yote wewe ume-infer ukabila tu?
➡️➡️➡️ Ni kweli Magufuli hakujali maslahi ya Tanzania na Watanzania?😳😳😳
Sad!
Anajifanya anapigania wanyonge wakati ndiye alikuwa Mnyongaji mkuu wa Mifumo ya nchi, anajifanya kupinga Rushwa wakati ndiye alikuwa mhongaji mkuu hadi wapinzani aliwahonga na kuwanunua, rushwa za matrafiki aliita ni hela ya brash.Angekuwa anajari asingeweka mbele uccm wake akawa anadanganya watz kwmb wapnzan ndo wanaomchelewesha sjui kwa lipi hasa kumbe jtu ni liongo tu alijari mavitu tu si maisha ya watz muongo mkubwa yule