Rais Trump asitisha visa za wanafunzi wa kigeni walioandamana kuipinga Israeli baada ya mashambulizi ya kigaidi ya Oktoba 7,2022

Trump haijui dunia ilivyo ndiomana anatoa matamko yasioeleweka ni wakumwangalia tu
 
Huwezi kwenye nchi za watu na kuanza kuleta vurugu kwa kisingizio cha demokrasia🤔
Hv huyu anadhani watu bila kuishi marekani damu mwilini haixunguki watubwatarudi ila na wao wasihatibu utamaduni wa kila aina za watu waliojiwekea mbona hyo poa na wao watatolewa tu nchi za watu
 
Hawa wavaa vipedo misuli na makobazi unaona nchi zao zinavyofanya? Halafu wanaandamana nchi za watu🤔
.....
#TUNISIA: TUNISIA EXTENDS STATE OF EMERGENCY UNTIL THE END OF 2025
Tunisian President Kais Saied has announced the extension of the state of emergency across the country until the end of 2025.
This decision grants the authorities exceptional powers, including carrying out home arrests and banning public gatherings, to maintain security and order.
 
Kwa hiyo analindwa bure kwa akili zako za kuvukia barabara ...Ile dili ya petradollar wakati wanaingia ulikuwa kijijini kwenu unachunga ?
Iwe bure iwe kwa pesa issue ni kwamba je analindwa na wazungu au halindwi? Sidhan kama una akili timamu ww yan ww mwafrika mmoja mla chakula cha mifugo ya marekani unaona wazungu hawana umuhimu kwa waarabu kwamba waarabu umewazd akili kuligundua hlo ww si ni kichaa kbs ww
 
Sasa wewe kenge unaongea ujinga Gani? Hamna uchajua kaa kwa kutulia huko kijijini kwenu.

Ugunduzi wa waarabu si mpaka ukasome ,waarabu wanalinda tamaduni zao miaka na miaka ...Hawapeleki mjeshi nchi za wazungu kwa vile hawana shida nao .....Wazungu wapi hao wamegundua Kila kitu au tatizo elimu uliyosoma inakufanya kuwa mjinga...
Kupewa elimu ya mzungu ili uwe kibaraka basi unaamini Kila kinatoka kwa wazungu 🤣🤣 mpumbavu mkubwa !

Hao wajinga wazungu ndiyo Chanzo Cha yote ,wanamshobokea mwarabu kwa vile ana pesa ...Sio wewe kichaa ambaye hata usafi wa miwili ni shida.
 

Nchi bora kabisa watu wake hawana shobo kama kenge wew unaacha kijijini kwenu unakimbilia mikoa ya watu🤣🤣🤣🤣...Nchi za waarabu nyingine zilikuwa na machafuko baada ya upumbavu wa demokrasia ya wazungu.
 
Acha kujidanganya kwa fikira finyu kuwa waliopinga mauwaji ya kigaidi ya wapalestina ktk vyuo vikuu vya marekani ni waislamu tu.
 
Kumbe hao waarabu wanaokimbiliaga ulaya na marekani huko kwao kikiwaka huwa knawapeleka nn why not wasiende kwny nchi za waarabu wenzao? Mtu anayekuletea jambo na ukalipokea maana yake anakutawala sa hao waarabu walipopelekewa demokrasia toka marekani waliipokea yann sasa kama ina madhara kwao
 
Naona unatukana tukana tu na kujichekesha chekesha kama choko la kiarabu sjui ndo madrasa mnafundshwa ivyo unatumia nguvu kubwa sn kujtetea na kutetea hao waarabu halafu ni pumba tu nilipoona emoje za kicheko hata sjasoma umeandka nn
 
Waarabu wapi? Huku arabuni hakuna wazungu🤣🤣🤣Mbona unakuwa mjinga wewe.
 
Naona unatukana tukana tu na kujichekesha chekesha kama choko la kiarabu sjui ndo madrasa mnafundshwa ivyo unatumia nguvu kubwa sn kujtetea na kutetea hao waarabu halafu ni pumba tu nilipoona emoje za kicheko hata sjasoma umeandka nn
Nakuambia wewe mjinga maana huelewi ....Mtu unatokea kijijini nn?
 
kwani saudia inalindwa bure? Ile ni business na Wamarekani ndiyo wanafaidi hasa mapesa ya Wasaudia, kwa hivyo kila mmoja anamuhitaji mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…