Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv huyu anadhani watu bila kuishi marekani damu mwilini haixunguki watubwatarudi ila na wao wasihatibu utamaduni wa kila aina za watu waliojiwekea mbona hyo poa na wao watatolewa tu nchi za watuHuwezi kwenye nchi za watu na kuanza kuleta vurugu kwa kisingizio cha demokrasia🤔
Hiki unachokiongea waswahili wanakiita,"Dua la kuku..........",🤔Hv huyu anadhani watu bila kuishi marekani damu mwilini haixunguki watubwatarudi ila na wao wasihatibu utamaduni wa kila aina za watu waliojiwekea mbona hyo poa na wao watatolewa tu nchi za watu
Iwe bure iwe kwa pesa issue ni kwamba je analindwa na wazungu au halindwi? Sidhan kama una akili timamu ww yan ww mwafrika mmoja mla chakula cha mifugo ya marekani unaona wazungu hawana umuhimu kwa waarabu kwamba waarabu umewazd akili kuligundua hlo ww si ni kichaa kbs wwKwa hiyo analindwa bure kwa akili zako za kuvukia barabara ...Ile dili ya petradollar wakati wanaingia ulikuwa kijijini kwenu unachunga ?
Sasa wewe kenge unaongea ujinga Gani? Hamna uchajua kaa kwa kutulia huko kijijini kwenu.Iwe bure iwe kwa pesa issue ni kwamba je analindwa na wazungu au halindwi? Sidhan kama una akili timamu ww yan ww mwafrika mmoja mla chakula cha mifugo ya marekani unaona wazungu hawana umuhimu kwa waarabu kwamba waarabu umewazd akili kuligundua hlo ww si ni kichaa kbs ww
Iwe bure iwe kwa pesa issue ni kwamba je analindwa na wazungu au halindwi? Sidhan kama una akili timamu ww yan ww mwafrika mmoja mla chakula cha mifugo ya marekani unaona wazungu hawana umuhimu kwa waarabu kwamba waarabu umewazd akili kuligundua hlo ww si ni kichaa kbs ww
Acha kujidanganya kwa fikira finyu kuwa waliopinga mauwaji ya kigaidi ya wapalestina ktk vyuo vikuu vya marekani ni waislamu tu.Rais wa Marekani, Donald Trump, alisaini agizo la kupambana na chuki dhidi ya Wayahudi na kuahidi kuwafukuza wanafunzi wa vyuo vikuu wasio raia pamoja na wengine waliokuwa sehemu ya maandamano ya kuunga mkono Palestina dhidi ya Israel.
Agizo hilo kutoka kwa Trump lilisema kuwa Wizara ya Sheria itachukua hatua za haraka ili kuzuia vitisho vya kigaidi, uchomaji moto, uharibifu wa mali na ukatili dhidi ya Wayahudi walioko nchini Marekani, huku ikitumia rasilimali zote za serikali kuu kupambana na kile kilichoitwa "mlipuko wa chuki dhidi ya Wayahudi katika vyuo vikuu na mitaani" tangu shambulio la Oktoba 7, 2023, lililofanywa na kundi la Hamas dhidi ya Israel.
"Kwa wageni waliounga mkono maandamano ya jihad, tunawatahadharisha: ifikapo 2025, tutawapata na tutawafukuza," Trump alisema katika karabrasha hilo.
"Pia nitafuta haraka visa za wanafunzi wote wanaounga mkono Hamas katika vyuo vikuu, ambavyo vimemezwa na msimamo mkali wa kisiasa kuliko wakati wowote," aliongeza, akirejelea ahadi aliyotoa wakati wa kampeni ya 2024.
Makundi ya haki za binadamu na wataalamu wa sheria wamesema hatua hiyo itakiuka haki ya uhuru wa kujieleza kikatiba na huenda ikakabiliwa na changamoto za kisheria.
My take: Hao wavaa vipedo,misuli na makobazi warudi kwenye nchi zao wakaandamane kupinga udikteta na utawala wa kiimla ambazo nyingi zinatawaliwa kwa mfumo huo🤔
FaizaFixy Ritz kimsboy
===================================================================
US President Donald Trump signed an executive order on Wednesday to combat antisemitism and pledged to deport non-citizen college students and others who took part in pro-Palestinian protests against Israel.
A fact sheet on the order promises “immediate action” by the Justice Department to prosecute “terroristic threats, arson, vandalism and violence against American Jews” and marshal all federal resources to combat what it called “the explosion of antisemitism on our campuses and streets” since the October 7, 2023, attack on Israel by Palestinian terror group Hamas.
“To all the resident aliens who joined in the pro-jihadist protests, we put you on notice: come 2025, we will find you, and we will deport you,” Trump said in the fact sheet.
“I will also quickly cancel the student visas of all Hamas sympathizers on college campuses, which have been infested with radicalism like never before,” the president said, echoing a 2024 campaign promise.
Rights groups and legal scholars said the measure would violate constitutional free speech rights and would likely draw legal challenges.
Kumbe hao waarabu wanaokimbiliaga ulaya na marekani huko kwao kikiwaka huwa knawapeleka nn why not wasiende kwny nchi za waarabu wenzao? Mtu anayekuletea jambo na ukalipokea maana yake anakutawala sa hao waarabu walipopelekewa demokrasia toka marekani waliipokea yann sasa kama ina madhara kwaoView attachment 3220651
Nchi bora kabisa watu wake hawana shobo kama kenge wew unaacha kijijini kwenu unakimbilia mikoa ya watu🤣🤣🤣🤣...Nchi za waarabu nyingine zilikuwa na machafuko baada ya upumbavu wa demokrasia ya wazungu.
Naona unatukana tukana tu na kujichekesha chekesha kama choko la kiarabu sjui ndo madrasa mnafundshwa ivyo unatumia nguvu kubwa sn kujtetea na kutetea hao waarabu halafu ni pumba tu nilipoona emoje za kicheko hata sjasoma umeandka nnSasa wewe kenge unaongea ujinga Gani? Hamna uchajua kaa kwa kutulia huko kijijini kwenu.
Ugunduzi wa waarabu si mpaka ukasome ,waarabu wanalinda tamaduni zao miaka na miaka ...Hawapeleki mjeshi nchi za wazungu kwa vile hawana shida nao .....Wazungu wapi hao wamegundua Kila kitu au tatizo elimu uliyosoma inakufanya kuwa mjinga...
Kupewa elimu ya mzungu ili uwe kibaraka basi unaamini Kila kinatoka kwa wazungu 🤣🤣 mpumbavu mkubwa !
Hao wajinga wazungu ndiyo Chanzo Cha yote ,wanamshobokea mwarabu kwa vile ana pesa ...Sio wewe kichaa ambaye hata usafi wa miwili ni shida.
Waarabu wapi? Huku arabuni hakuna wazungu🤣🤣🤣Mbona unakuwa mjinga wewe.Kumbe hao waarabu wanaokimbiliaga ulaya na marekani huko kwao kikiwaka huwa knawapeleka nn why not wasiende kwny nchi za waarabu wenzao? Mtu anayekuletea jambo na ukalipokea maana yake anakutawala sa hao waarabu walipopelekewa demokrasia toka marekani waliipokea yann sasa kama ina madhara kwao
Nakuambia wewe mjinga maana huelewi ....Mtu unatokea kijijini nn?Naona unatukana tukana tu na kujichekesha chekesha kama choko la kiarabu sjui ndo madrasa mnafundshwa ivyo unatumia nguvu kubwa sn kujtetea na kutetea hao waarabu halafu ni pumba tu nilipoona emoje za kicheko hata sjasoma umeandka nn
Baraa ni kitu ganiHii ni baraa
Kwamba arabuni hakuna wazungu jeshi la marekani lililopo saudia likimlinda na mungu jiwe wa kiarabu kumbe wale ni waarabu. Halafu acha tabia za kike emoje za kicheko hutumiwa na wadada au ushaleft.Waarabu wapi? Huku arabuni hakuna wazungu🤣🤣🤣Mbona unakuwa mjinga wewe.
Ni hatariiiBaraa ni kitu gani
Balaa na sio baraaNi hatariii