Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

PureView zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Posts
10,786
Reaction score
35,916
Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa.

Trump akizungumza Washngton jana tarehe 10 Februari 2025 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.
Trump ameonesha wasiwasi wake kuwa mateka wengi wameua ndio maana zoezi la kuachiliwa linasuasa.
“Ikifika Jumamosi saa sita mchana hawajachilia Hamas watajua na nyinyi mtajua”

Wachambuzi wa masuala ya vita wanatabiri kuwa hii kauli ya trump ni hatua ya utekelezaji wa kuwaondoa wapalestina wote waondoke.

Pia kama hamas watakubali kuwaachia mateka wote basi watakuwa ni waoga na watakuwa wamekubali kucheza mziki wa trump na kama watakuwa wabishi basi tutegemee Gaza kuangamia na kuelekea kuzimu

20250211_122820.jpg
 
Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa.

Trump akizungumza Washngton jana tarehe 10 Februari 2025 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.
Trump ameonesha wasiwasi wake kuwa mateka wengi wameua ndio maana zoezi la kuachiliwa linasuasa.
“Ikifika Jumamosi saa sita mchana hawajachilia Hamas watajua na nyinyi mtajua”

Wachambuzi wa masuala ya vita wanatabiri kuwa hii kauli ya trump ni hatua ya utekelezaji wa kuwaondoa wapalestina wote waondoke...
Pia kama hamas watakubali kuwaachia mateka wote basi watakuwa ni waoga na watakuwa wamekubali kucheza mziki wa trump na kama watakuwa wabishi basi tutegemee Gaza kuangamia na kuelekea kuzimuView attachment 3233087
Huyu ni oratory mropokaji ila sio ntekelezaji, walisha mzoea
 
Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa.

Trump akizungumza Washngton jana tarehe 10 Februari 2025 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.
Trump ameonesha wasiwasi wake kuwa mateka wengi wameua ndio maana zoezi la kuachiliwa linasuasa.
“Ikifika Jumamosi saa sita mchana hawajachilia Hamas watajua na nyinyi mtajua”

Wachambuzi wa masuala ya vita wanatabiri kuwa hii kauli ya trump ni hatua ya utekelezaji wa kuwaondoa wapalestina wote waondoke.

Pia kama hamas watakubali kuwaachia mateka wote basi watakuwa ni waoga na watakuwa wamekubali kucheza mziki wa trump na kama watakuwa wabishi basi tutegemee Gaza kuangamia na kuelekea kuzimuView attachment 3233087
Safi sana simama na Israel ufike kwa YESU
 
Back
Top Bottom