Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

Ni mpuuzi huyo hawezi ipeleka U.S popote kwa akili zake za ukurupukaji na uropokaji unafikiri anaweza kuthibitisha ushindani wa uchina unaotishia zaidi anguko la marekani kuliko hao Hamas anao hangaika nao.

DT ni mwehu
Yaani mwehu anayeishi nchi ambayo haieleweki eti anajiona ana akili kuliko Trump na anatabiri anguko la USA.
Ukiacha Urais Trump ni moja ya matajiri USA wewe usiye mwehu una miliki nini Tanzania.

Hivi huu ujinga watanzania tumeupata wapi?
 
Yaani mwehu anayeishi nchi ambayo haieleweki eti anajiona ana akili kuliko Trump na anatabiri anguko la USA.
Ukiacha Urais Trump ni moja ya matajiri USA wewe usiye mwehu una miliki nini Tanzania.

Hivi huu ujinga watanzania tumeupata wapi?
Ulivyo mpuuzi unafikiri kuishi Marekani kunafanya wote wawe na akili wewe naye mwehu kama DT
 
Ni kweli kwa sababu upo kwa Shem hapo umekalisha mapumbu yako yanayoning'inia kama nyama za kwenye bucha, unamdhihaki mtu Yuko white house Washington DC UNITED STATES OF AMERICA..ambaye mambo anayoyachukulia hatua kwa Sasa wewe huwez kuona impact sababu unamtegemea Shem akupe ugali ukajaze choo. Mamaeh. Ignore list ukafie mbali. [emoji706]
Dogo acha upumbavu unafikiri kila mtu mtoto mwenzio
 
Narudia, Kauli kama hizi za kujifaariji zimewaponza wenzako wa USAID na mashirika mengine saivi ni majobless wanakimbizana huko kwenye mifuko ya jamii angalau wapate chochote kusitiri familia zao, zimewaponza wapalestina saivi ni homeless na wanakufa kila siku kisa tu kuwasitiri magaidi na saivi wamefika sjui elfu 50, na akiingia marekani hizo maiti zitazidishwa mara 2.., zimewaponza wahamiaji saivi ni homeless/shelterless, zimeponza nchi za kiafrika zilizokua zinapokea matrilioni ya msaada na pesa kama Tanzania na nchi nyinginezo za kiafrika saivi wanahaha kuona wata cover vipi gepu Hilo, je wawajeukie mafukara na masikini kuwabebesha mzigo wa tozo ama wabuni vyanzo mbalimbali vya mapato kupitia rasilimali zilizopo, na Bado Kuna wengi wataponzwa na Kauli kama hizi za kudhania kua ni mropokaji na Hana lolote, endeleeni. Kalagabaho!
Hujui kitu wewe ni sawa na form 3 tu hivi anayejifunza Historia tu. Uliyoandika ni mambo ya kitoto hasa hapo unapoitaja USAID. Una muda wa kujifunza mengi muda bado upo
 
Inawezakan Biden alikuwa mgonjwa ila huyu ni mwehu kabisa! Ana dharau na anaamini kila kitu kina-revolve around US.
Yeye kaikuta US na dunia, na ataiacha!
Kawakuta Wapelestina na atawaacha!

Kuna nini kipya atafanya ambacho Israel hakufanya kwenye miezi 11 ya vita?
 
Ulivyo mpuuzi unafikiri kuishi Marekani kunafanya wote wawe na akili wewe naye mwehu kama DT
Nimekwambi ukiacha Urais huyo DT ni moja ya matajiri USA, wewe ambaye siyo mwehu unamiliki nini Tanzania?
Muwe mnaficha upuuzi wenu wa hizo imani zenu. Huyo unayemsema mwehu tamko lake moja tu linaweza kufanya uchumi wa nchi yako hadi na familia yako ukaparaganyika pamoja na hizo akili zako.
 
Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa.

Trump akizungumza Washngton jana tarehe 10 Februari 2025 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.
Trump ameonesha wasiwasi wake kuwa mateka wengi wameua ndio maana zoezi la kuachiliwa linasuasa.
“Ikifika Jumamosi saa sita mchana hawajachilia Hamas watajua na nyinyi mtajua”

Wachambuzi wa masuala ya vita wanatabiri kuwa hii kauli ya trump ni hatua ya utekelezaji wa kuwaondoa wapalestina wote waondoke.

Pia kama hamas watakubali kuwaachia mateka wote basi watakuwa ni waoga na watakuwa wamekubali kucheza mziki wa trump na kama watakuwa wabishi basi tutegemee Gaza kuangamia na kuelekea kuzimuView attachment 3233087
hana lolote huyu ni coward internationally.,
 
Safi sana,Hamas sio wa kuwachekea ni Magaidi hatari sana.
Usichojua Ni Kwamba Kumtishia Gaidi Na Kifo Ni Sawa Na Mchezaji Soka Umwambie Usipofunga Goli Kwenye Mechi Ya Kesho Nitakuadhibu Kwa Kukupa Ballon D'or.Kufa Wanaogopa Makafiri Kama Trump Na Washirika Wake.
 
Back
Top Bottom