Imole
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 1,438
- 4,053
Yaani hyo adha wanailazimisha wao wamesign mkataba wa ceasefire na wamekubaliana namna ya kuutekeleza then israel kila siku anavunja makubaliano unataka hamas wafanye niniUkiwa umeshiba ugali na mrenda ngumu sana kumuelewa Trump angalia adha wanaopata Palestina.