Agano kati ya US na Israel kwa sasa lipo strong sana hivyo Hamas, Iran na magaidi wengine watapata tabu sanaaaa.Rais wa Marekani Donard Trum amesema kuwa endapo hadi kufika Tarehe 15 Febuari siku ya Jumamosi saa sita mchana mateka wa Israel waliotekwa na Hamas hawajaachiwa kutatokea athari kubwa.
Trump akizungumza Washngton jana tarehe 10 Februari 2025 alipokuwa akiongea na waandishi wa habari.
Trump ameonesha wasiwasi wake kuwa mateka wengi wameua ndio maana zoezi la kuachiliwa linasuasa.
“Ikifika Jumamosi saa sita mchana hawajachilia Hamas watajua na nyinyi mtajua”
Wachambuzi wa masuala ya vita wanatabiri kuwa hii kauli ya trump ni hatua ya utekelezaji wa kuwaondoa wapalestina wote waondoke.
Pia kama hamas watakubali kuwaachia mateka wote basi watakuwa ni waoga na watakuwa wamekubali kucheza mziki wa trump na kama watakuwa wabishi basi tutegemee Gaza kuangamia na kuelekea kuzimu
View attachment 3233087
Wakati wa Biden migaidi ilienjoy sana ikafikiri kutakuwa na extension ya raha sasa chuma kimeingia hakicheki na kima