Mateso chakubanga
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 587
- 800
Huyu naye mzee Wasira wa marekani tumemchoka. Watu tulisubiri amalize vita within 24 hrs kama alivyosema, sasa anatishia kujitoa kwenye ushirika. Ajitoe tu, baada ya miaka minne ajaye atairudisha.Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
Just like thatUrusi ni dude haswa! Kama ni kiungo kwenye mwili, basi Urusi itakua ni moyo 🤣
Julisha kama ni akina Aisha wowowoIla nchi za ulaya kumbe kama africa tu,sema tu was wana hela
Kwa kweli ulaya inabidi ijifikirie tena. Leo ulaya si mshirika wa Marekani bali anayeagizwa na kutishiwa kuwekewa vikwazo. Ulaya imebaki tu kuendeshwa na MArekani ikifuata maagizo na wakati mwingine kupoteza fursa za kibiashara kwa china na cheap energy kwa mrusi.Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
AU sio!Hana akili
Au macho,yote mawili.Urusi ni dude haswa! Kama ni kiungo kwenye mwili, basi Urusi itakua ni moyo 🤣
Urusi sio taifa la masihara.COPIED.Hii vita imetufundisha mambo mengi sana na imetusaidia kuujua ukweli.
Urusi sio Taifa la masihara.
Trump anaangalia Marekani yake na hataki kuonesha unafiki huku akijua anaigiza.Yeye anaonesha uhalisia wake utaamua umpende au umchukie.
Zelenski ni mfano wa viongozi kadhaa wanaopatikana Africa na nchi za kiarabu.
Yupo tayari kutesa raia wake ili kuwafurahisha wa nje ambao hawana msimamo wakudumu.
Funzo lingine nililopata wale waEurope bila Marekani ni wakawaida sana kifupi marekani anawamudu sana.
Kumbe na wao wanapangiwa tu.Marekebisho, sio Europe na Ukraine, bali kawaambia Europe amewapa week tatu kumshinikiza Zele ako concede territory kwa Urusi na kumaliza vita, hii maana yake EU wasitoe msaada. Nadhani huu ujumbe ni maalumu kwa Ufaransa na U.K ambao wanataka kuwa vimbele mbele
Kwa sababu hii nilidhani Ukraine yote ilipaswa kuwa mikononi mwa Urusi.Hii vita imetufundisha mambo mengi sana na imetusaidia kuujua ukweli.
Urusi sio Taifa la masihara.
Trump anaangalia Marekani yake na hataki kuonesha unafiki huku akijua anaigiza.Yeye anaonesha uhalisia wake utaamua umpende au umchukie.
Zelenski ni mfano wa viongozi kadhaa wanaopatikana Africa na nchi za kiarabu.
Yupo tayari kutesa raia wake ili kuwafurahisha wa nje ambao hawana msimamo wakudumu.
Funzo lingine nililopata wale waEurope bila Marekani ni wakawaida sana kifupi marekani anawamudu sana.
Moyo una mwendesha hadi Mzee mwerevu TrumpUrusi ni dude haswa! Kama ni kiungo kwenye mwili, basi Urusi itakua ni moyo 🤣