Rais Trump awapa wiki tatu ukraine na Ulaya kumaliza vita

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
587
Reaction score
800
Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
 
Marekebisho, sio Europe na Ukraine, bali kawaambia Europe amewapa week tatu kumshinikiza Zele ako concede territory kwa Urusi na kumaliza vita, hii maana yake EU wasitoe msaada. Nadhani huu ujumbe ni maalumu kwa Ufaransa na U.K ambao wanataka kuwa vimbele mbele
 
Hii vita imetufundisha mambo mengi sana na imetusaidia kuujua ukweli.

Urusi sio Taifa la masihara.

Trump anaangalia Marekani yake na hataki kuonesha unafiki huku akijua anaigiza.Yeye anaonesha uhalisia wake utaamua umpende au umchukie.

Zelenski ni mfano wa viongozi kadhaa wanaopatikana Africa na nchi za kiarabu.

Yupo tayari kutesa raia wake ili kuwafurahisha wa nje ambao hawana msimamo wakudumu.

Funzo lingine nililopata wale waEurope bila Marekani ni wakawaida sana kifupi marekani anawamudu sana.
 
Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
Huyu naye mzee Wasira wa marekani tumemchoka. Watu tulisubiri amalize vita within 24 hrs kama alivyosema, sasa anatishia kujitoa kwenye ushirika. Ajitoe tu, baada ya miaka minne ajaye atairudisha.
 
Rais wa Marekani Donald Trump amewaeleza Ulaya na Ukraine hataki kuona vita inaendelea Ukraine badala yake ametoa muda wa siku 21 kuanzia tatehe ya tamko vita viishe au vinginevyo atajitoa katika ushirika na Ulaya, hayo yamethibitishwa na mjumbe wa Ulaya Mika Aalota
Kwa kweli ulaya inabidi ijifikirie tena. Leo ulaya si mshirika wa Marekani bali anayeagizwa na kutishiwa kuwekewa vikwazo. Ulaya imebaki tu kuendeshwa na MArekani ikifuata maagizo na wakati mwingine kupoteza fursa za kibiashara kwa china na cheap energy kwa mrusi.
Leo ulaya uchumi wake uko hoi, wanasema uchumi wa germany, franc, united kingdom na italy ukianguka zaidi ulaya itakuwa hoi zaidi.
WAnabidi warudi kwenye drawing board.
 
Hii vita imetufundisha mambo mengi sana na imetusaidia kuujua ukweli.

Urusi sio Taifa la masihara.

Trump anaangalia Marekani yake na hataki kuonesha unafiki huku akijua anaigiza.Yeye anaonesha uhalisia wake utaamua umpende au umchukie.

Zelenski ni mfano wa viongozi kadhaa wanaopatikana Africa na nchi za kiarabu.

Yupo tayari kutesa raia wake ili kuwafurahisha wa nje ambao hawana msimamo wakudumu.

Funzo lingine nililopata wale waEurope bila Marekani ni wakawaida sana kifupi marekani anawamudu sana.
Urusi sio taifa la masihara.COPIED.
 
Kwa sababu hii nilidhani Ukraine yote ilipaswa kuwa mikononi mwa Urusi.

Kwanin Urusi iwe dude kubwa baada ya Trump kuingia madarakani?
 
Back
Top Bottom