Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

Rais Tshisekedi siku zake zinahesabika

Mi NASHANGAA hata self propelled howitzer sijajua kama zipo hapa bongo.
Self propelled howitzers sijawahi ziona. Tuna hizi towed guns nimeziona kwenye Dragonfly mwaka jana, zile nadhani ni 122mm design kama Soviet D-74 something like that au Chinese copy yake.

Rwanda wanazo howitzers wamenunua Israel, Kenya wanazo wamenunua Serbia hizi ndio nzuri zaidi ukanda huu Afrika Mashariki na Kati, Ethiopia wamenunua za China mwezi uliopita.
Hivi anti tank weapons zetu ni zipi
 
Rwanda wanazo za Israeli kama 6 hivi japo sio nyingi NAO
Na za kichina
SH3_400x300_Rwanda_Gov.jpg
Rwandan-soldiers-are-seen-operating-the-CS-SH1-during-the-exercise-at-Gabiro-Source-Paul-Kagame.jpg
 
Sijaziona , ila kwa DUNIA ya sasa anti tanks ni mueshimu sana, zinaweza zikawepo ila.
Huwa ni ndogo si rahisi kuziona kama hawataki zionekane. Ila hizo silaha kubwa hatudanganyiki zikiwepo tutaziona. Na tanks zetu hizo T-55 sijui ziko serviceable zote. VT-2 chache na some Chinese amphibious vehicles na wheeled vehicles nyingine. Penetrating power ya 400mm armour kwa majirani nadhani inatosha.
 
Hivi TZ 155mm gun artillery zipo kweli.
Mimi sijaziona
 
View attachment 2506387
Hizo na Uganda wanazo japo sio nyingi NAO
Huhitaji self propelled howitzers nyingi. Unakuwa nazo chache za ubora hata 12 zenye range kubwa kama 40km na unakuwa na zile shells GPS guided au ukikosa maana wenye nazo hulinga na hata hivyo zina bei sana unatumia rocket assisted projectiles.

Zina speed, unafanya shoot and scoot unatokomea sehemu nyingine. Kazi yake hizo ni kuharibu command centres, ammo dumps na logistics centres. Hutakiwi kutumia shells kwa pupa, unaacha zile towed guns za 122mm zenye maximum range ya 20km na accuracy ndogo zifanye kazi kwa infantry na vehicles zao.

Ujue wakati tunapigana na Uganda hawakuwa na artillery za uhakika tuliwanyanyasa na tukawa na Katyusha. Ukraine hapo imepewa HIMARS 20 tu imefanya maajabu.

Kwanza ukanda huu hakuna mwenye battlefield surveillance radar wala counter battery radar. Hizo artillery ukizitumia vizuri ukakwepa mines na ukawa na intel safi unaweza maliza nazo vita. Ukraine hadi sasa haijapoteza HIMARS hata moja
 
Huhitaji self propelled howitzers nyingi. Unakuwa nazo chache za ubora hata 12 zenye range kubwa kama 40km na unakuwa na zile shells GPS guided au ukikosa maana wenye nazo hulinga na hata hivyo zina bei sana unatumia rocket assisted projectiles.
Hizi ni Mzuri sana
USA wamezitest na walipeleka Kyle Ukraine ziliwasumbua sana urusi

images.jpeg
images (1).jpeg
images (2).jpeg
images (3).jpeg

Zipo accurate Kimora.
Bongo huku Sijui hawaoni.
 
Ya Zaman sana afu kuna mingine waliionyesha siku ya uhuru mwaka 20121 na 2014.
No mrefu hivi inasukumwa kwenye Metairi manne sijajua ni has aiona gani.
 
Huhitaji self propelled howitzers nyingi. Unakuwa nazo chache za ubora hata 12 zenye range kubwa kama 40km na unakuwa na zile shells GPS guided au ukikosa maana wenye nazo hulinga na hata hivyo zina bei sana unatumia rocket assisted projectiles.
Nimeiona ni 130mm gun
Screenshot_20230205-100602_YouTube.jpg
Screenshot_20230205-100608_YouTube.jpg
Screenshot_20230205-100606_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom