Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Yani ni kong'oto kwenda mbele hakuna cha mswalie mtume ๐๐๐Ndio maana yake mkong'oto tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ni kong'oto kwenda mbele hakuna cha mswalie mtume ๐๐๐Ndio maana yake mkong'oto tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani ni kong'oto kwenda mbele hakuna cha mswalie mtume [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuna watu humu ukiwaambia ukweli huu utasikia wanakwita mnyarwanda. Ila wao wanapoitetea Congo hata kama wanaona haiteteeki ukiwambia na wao ni wacongo wanapinga.RPF wana jeshi bora Sana, ndani ya wiki tu wanafika hapo Kinshasa. Ukweli usemwe
Sija kuelewa namna ya kusavaivu kiaje yani?Namna ya kusavaivu
Hilo nalo kalitazameni tafadhali!Wakati wa Mobutu, alipeleka Majeshi yake Rwanda kwenda kupambana na RPF. wakachapwa, baada ya Serikali ya Rwanda kuondolewa na Waasi, Jeshi la zamani likakimbilia DRC, na mimi naamini mpaka leo linalindwa na elements kwenye Regime ya Kinshasa.
Ni ngumu sana, Congo ina walinzi royal sana mfano bodyguards wa Rais Mobutu ukitazama mahojiano yao utaelewa, wale jamaa walipewa kiapo cha kufa kwa ajili ya Rais na walikuwa hawaogopi kifo
Kabila mkubwa alijichanganya akaweka vilinzi vitoto visivyo na mafunzo yoyote ndicho kilimuangusha
Hii ni fedheha kwa nchi kubwa kwa idadi ya watu, raslimali na eneo kama DRC kudharauliwa na ka nchi kadogo!
Kongole kwa DRCVijana wa DRC watakiwa kujitayarisha kwa mapigano ya kumtoa dictator mchonganishi na snitch
M23 ni RDFSasa jiulize ikiwa nchi yenye raia zaidi ya milioni 1 inachakazwa na waasi wasiozidi elfu 5, huku waasi hao wakiwa na silaha za kuunga unga na mazoezi ya msituni yasiokuwa rasmi.
Zimebaki Siku ngapiWakuu inakuaje? sasa twende kazi.
Siku mbili tatu hizi kumekuwa na hali ya sintofahamu kati ya serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na ile ya Rwanda, kila mmoja akimtupia lawama mwenzake na kutishia kuvunjilia mbali uhusiano wao wa kidiplomasia nk.
Kwa upande wa Congo ndio wanaonekana kuwa wamechukia zaidi hadi kupelekea serikali yao kumfukuza nchini kwao balozi wa Rwanda, na pia kumwata balozi wao aliekuwa nchini Rwanda.
Kwa upande wa Rwanda yenyewe haioneshi kupanic wala kuchukizwa kivile, inaonekana ime relax ikisubiria kuona kingine kitachojiri kutoka katika serikali ya jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Sasa basi... Rwanda ina uwezo wa kuichakaza na kuisambaratisha Congo kijeshi kwa njia zote, iwe kwa angani, majini au ardhini tena kwa muda mfupi sana.
Congo inaweza kuishinda Rwanda kwa maneno tu, maana wakongomani ni waimba miziki na wachezaji wakubwa, ila linapokuja swala la mapambano ya kijeshi na weupe sana wanashindwa hata na Burundi.
Kwanza toka Congo ilipopata uhuru jeshi lake halikuwahi kushinda vita yoyote ile. Wakati wa Mobutu jeshi la Congo lilichakazwa vibaya na waasi waliokuwa wanaongozwa na hayati Desire Kabila (father) na baadae jeshi hilo limeendelea kuchakazwa na makundi mbali mbali ya waasi wengi wao ni kutoka nchi jirani.
Sasa jiulize ikiwa nchi yenye raia zaidi ya milioni 1 inachakazwa na waasi wasiozidi elfu 5, huku waasi hao wakiwa na silaha za kuunga unga na mazoezi ya msituni yasiokuwa rasmi. Je watakapoingia kwenye vita na nchi yenyewe si ndo yatakuja kutokea yale ya Mobutu na Idi Amini!!
Hivi kweli Tshisekedi anaamini kuwa nchi yake inaweza kuipiga Rwanda au ndo kifo kinamwita, au wazee wa kazi (Kabila's team) wanamshauri ujinga ili akipigwa akikimbia Kabila arudi kuongoza Congo?
Maana katika hali ya kawaida haiwezekani nchi inayoshindwa vita na waasi elfu 3, ijidanganye kuwa inaweza kupambana na nchi yenye wanajeshi zaidi ya laki, wenye ueledi mkubwa wa kivita, silaha za kisasa na wanajeshi wa kutosha.
Katika EAC nzima, nchi ambazo Rwanda inaweza kuhofia kwa namna fulani kupambana nazo ni Tanzania na Kenya tu ambazo majeshi yao yameshafanya mambo makubwa ndani na nje ya mipaka yao Tanzania ikiwa inaongoza kwa kufanikiwa oparation mbali mbali katika nchi za Msumbiji, Zimbabwe, Angola, Namibia, Comoros nk. Ila hizo zingine Rwanda inaziona kama vile ni nchi zinazolindwa na makundi ya sungu sungu tu na sio wanajeshi kamili.
So chonde chonde Tshisekedi watu bado wanakuhitaji uendelee kuwa raisi wao. Usije kuingia kwenye mtego ambao utashindwa kujinasua. Kagame alimhofia Kikwete tu mjeshi mwenzake na anajua watu wa kicheka cheka kama JK maamuzi yao yanakuwaga na athari kubwa kwa wengine. Lakini nyinyi wengine anawaona vikaragosi wake.
Tena kwa Congo ndo kabisa hawezi kutuma jeshi lake kupoteza muda wao. Sana sana ataajiri vijana kutoka katika makampuni mbali mbali ya ulinzi waje kumaliza kazi.
Pichani juu ni jeshi la Rwanda na picha ya chini ni jeshi la Congo.
View attachment 2407520
View attachment 2407521
Siku njema kwa wasomaji na wachangiaji wote. Asanteni.
Chezea M23 wewe!!๐คฃWakuu inakuaje? sasa twende kazi.

M23 ni RDF a.k.a the killing machine Au inkotanyiCol Nzenze wa M23
Hakuna lolote litakalo tekelezwa coz washaambiwa waondoke na mzaminiwao USA kupita PK au PAKAChezea M23 wewe!!๐คฃ
hapo chin ni Gen Chiko wa Deputy Chief wa FARDC akimuangalia Col Nzenze wa M23 jana kule Kibumba eneo ambalo liko under M23.
Zimbabwe ndio iliwafundisha Rwanda jeshi, ubabe wa Rwanda wote unaouona na kuusifia uzi mzima ni kazi ya Zimbabwe. Hujui Zimbabwean Airforce peke yake ndio iliikomboa Kinshasa na kumzuia General James Kabarebe.Nilivyoona Zimbabwe, Chad na Sudan zipo ndan ya list afu Tanzania haimo basi nimeona hii list imetengenezwa na wa congo wenyewe ๐๐๐
Chad ndio ilikuwa mstari wa mbele kulivunja nguvu kundi la bokoharam lilipokuwa tishio kwenye kilele chake cha Ugaidi huko Africa magharibi..............askari wa Chad walitapakaa kwenye nchi za Nigeria, Cameroon mpaka kule nchi za Sahel wakishirikiana na jeshi la Ufaransa.Chad ni nchi maskini ila ndio nchi yenye performance nzuri kupigana na waasi pale Western Africa. Nigeria inateseka, Mali inateseka ila Chad na bajeti yao ndogo wana jeshi limesukwa vizuri. Na kwa taarifa yako, Chad iliishinda vita Libya ya Ghaddafi iliyokuwa na silaha chungu nzima hadi nyingine inagawa bure.
Tanzania tunasiraha chache sana, serikali ijawekeza sana kwenye jeshi.Zimbabwe ndio iliwafundisha Rwanda jeshi, ubabe wa Rwanda wote unaouona na kuusifia uzi mzima ni kazi ya Zimbabwe. Hujui Zimbabwean Airforce peke yake ndio iliikomboa Kinshasa na kumzuia General James Kabarebe.
Hujui Rwanda na Uganda zilikuwa na wanajeshi zaidi ya 40,000 in Congo bado hujaongeza waasi hapo. Aliyekuja pambana nao ni Zimbabwe. Zimbabwe sio wazembe kijeshi.
Sudan hao ndio usiseme. Sudan anapigwa na nani kwenye East Africa nzima? Kuna jeshi gani la kuipiga Sudan hapa, unadhani Osama alikuwa mjinga alivyokuja kuishi kule mwanzo mwa harakati zake, juzi hapa kuna artillery munitions zimeonekana zinatumika Ukraine zimetengenezwa Sudan.
Chad ni nchi maskini ila ndio nchi yenye performance nzuri kupigana na waasi pale Western Africa. Nigeria inateseka, Mali inateseka ila Chad na bajeti yao ndogo wana jeshi limesukwa vizuri. Na kwa taarifa yako, Chad iliishinda vita Libya ya Ghaddafi iliyokuwa na silaha chungu nzima hadi nyingine inagawa bure.
Ungeishia kumsifia Kagame ingetosha, ulipoanza kutumia ushabiki kwenye uhalisia ndio unaonekana hata point yako ya msingi haina ukweli.
Chad wale jeshi lao liko serious kuliko maelezo. Hata Boko Haram wenyewe na magaidi wa IGAD sijui wanaitwa wanaliogopa kuliko hao wengine sijui Niger sijui Nigeria. Hako kajamaa kashabiki ka Kagame hakajui lolote kuhusu majeshi.Chad ndio ilikuwa mstari wa mbele kulivunja nguvu kundi la bokoharam lilipokuwa tishio kwenye kilele chake cha Ugaidi huko Africa magharibi..............askari wa Chad walitapakaa kwenye nchi za Nigeria, Cameroon mpaka kule nchi za Sahel wakishirikiana na jeshi la Ufaransa.