T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Silaha chache na nyingi za zamani. Assault rifles, tanks, air defence systems, artillery, armoured vehicles na nyingine za msingiTanzania tunasiraha chache sana, serikali ijawekeza sana kwenye jeshi.
Mi NASHANGAA hata self propelled howitzer sijajua kama zipo hapa bongo.Silaha chache na nyingi za zamani. Assault rifles, tanks, air defence systems, artillery, armoured vehicles na nyingine za msingi
Kenya wapo vizuri mno eneo hilo...Mi NASHANGAA hata self propelled howitzer sijajua kama zipo hapa bongo.
Self propelled howitzers sijawahi ziona. Tuna hizi towed guns nimeziona kwenye Dragonfly mwaka jana, zile nadhani ni 122mm design kama Soviet D-74 something like that au Chinese copy yake.Mi NASHANGAA hata self propelled howitzer sijajua kama zipo hapa bongo.
Sijaziona , ila kwa DUNIA ya sasa anti tanks ni muhimu sana, zinaweza zikawepo ila.Hivi anti tank weapons zetu ni zipi
Huwa ni ndogo si rahisi kuziona kama hawataki zionekane. Ila hizo silaha kubwa hatudanganyiki zikiwepo tutaziona. Na tanks zetu hizo T-55 sijui ziko serviceable zote. VT-2 chache na some Chinese amphibious vehicles na wheeled vehicles nyingine. Penetrating power ya 400mm armour kwa majirani nadhani inatosha.Sijaziona , ila kwa DUNIA ya sasa anti tanks ni mueshimu sana, zinaweza zikawepo ila.
Hivi TZ 155mm gun artillery zipo kweli.Huwa ni ndogo si rahisi kuziona kama hawataki zionekane. Ila hizo silaha kubwa hatudanganyiki zikiwepo tutaziona. Na tanks zetu hizo T-55 sijui ziko serviceable zote. VT-2 chache na some Chinese amphibious vehicles na wheeled vehicles nyingine. Penetrating power ya 400mm armour kwa majirani nadhani inatosha.
Sijawahi ona kabisaHivi TZ 155mm gun artillery zipo kweli.
Mimi sijaziona
Huhitaji self propelled howitzers nyingi. Unakuwa nazo chache za ubora hata 12 zenye range kubwa kama 40km na unakuwa na zile shells GPS guided au ukikosa maana wenye nazo hulinga na hata hivyo zina bei sana unatumia rocket assisted projectiles.View attachment 2506387
Hizo na Uganda wanazo japo sio nyingi NAO
Hizi ni Mzuri sanaHuhitaji self propelled howitzers nyingi. Unakuwa nazo chache za ubora hata 12 zenye range kubwa kama 40km na unakuwa na zile shells GPS guided au ukikosa maana wenye nazo hulinga na hata hivyo zina bei sana unatumia rocket assisted projectiles.
Nimeiona ni 130mm gunHuhitaji self propelled howitzers nyingi. Unakuwa nazo chache za ubora hata 12 zenye range kubwa kama 40km na unakuwa na zile shells GPS guided au ukikosa maana wenye nazo hulinga na hata hivyo zina bei sana unatumia rocket assisted projectiles.