Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

Mxhumi mbobevu hata akija malaika haiondoi ukweli kwamba CCM Ni wezi na mafisadi
 
Wewe una matatizo, Yani unataka apewe usemaji kisa CHADEMA?. Umpe uenezi kheri ili aikomoe CHADEMA na siyo kukijenga chama? .
Kama vile mchungaji asivyoacha kutaja jina la shetani kanisani ndivyo hivyo Mwenezi analazimika kuitaja CDM jukwaani
 
Tobaaa!! Unataka kurudisha ukoo wa Magu tena?
 
Yeyote machachari ilimradi usingizi kwa opposition parties upotee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…