Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

Rais tunaomba CCM tuletee kijana Kheri James nafasi ya Uenezi Taifa. CHADEMA watapiga salute kwa propaganda zake!

WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Mxhumi mbobevu hata akija malaika haiondoi ukweli kwamba CCM Ni wezi na mafisadi
 
Wewe una matatizo, Yani unataka apewe usemaji kisa CHADEMA?. Umpe uenezi kheri ili aikomoe CHADEMA na siyo kukijenga chama? .
Kama vile mchungaji asivyoacha kutaja jina la shetani kanisani ndivyo hivyo Mwenezi analazimika kuitaja CDM jukwaani
 
WanaJf,
SALAAM!

Ukiona CDM, ACT, NCCR, NLD nk hawaandiki maneno ya kukosoa mwenezi Taifa ina maana aliyepo anawapa usingizi.

Kama ilivyokuwa kwa Nape, na Polepole enzi zao nafasi ya Itikadi na Uenezi ilikifanya CCM tujisikie raha sana. Kwa hiyo ktk kipindi hiki ambacho vyama vya upinzani vimeamka toka usingizini - nashauri tumpate kijana machachari anayeweza kuendana na upepo wa sasa.

Aidha, sisi tunatoa ushauri huu kwa mapenzi ya dhati tuliyonayo kwa CCM. Lkn pia ifahamike kuwa aliyepo si mtu mbaya ila speed zake haziendani na CDM, CUF, ACT nk. Lkn pia Rais wetu ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Taifa aweza kuteua kijana yeyote amwonaye anafaa.

===================
Nyongeza:-
Mbali na
(a). Kheri James wengine ni
(b). Jesca Musambachavangu
(c). Christopher - Mwenezi (W) Kakonko
(d). Hamphrey Polepole.

Note
Kazi ya uenezi huhitaji MTU ambaye mishipa ya aibu ilishakatika. Asiyeweza waonea haya CDM, ACT, CUF, NCCR nk

Msakila Kabende
Mchumi Mbobezi
Bukoba / Kakonko.
Tobaaa!! Unataka kurudisha ukoo wa Magu tena?
 
Heri james alipopewa uenyekiti uvccm alichangia sana ccm kuharibika taswira. ccm hawawezi wakamrudisha tena katika nafasi ya chama. Labda kama wameamua ccm izirai tena mioyoni mwa watu. tatizo lililomo ccm ni nepotism....ukatibu mkuu na uenezi watazame uwezo wa mtu na si kujuana
Yeyote machachari ilimradi usingizi kwa opposition parties upotee.
 
Back
Top Bottom