Rais Uhuru aongoza marais kumi wa Afrika katika kupigia debe dawa ya Madagascar

Rais Uhuru aongoza marais kumi wa Afrika katika kupigia debe dawa ya Madagascar

Hata wakiwa maraisi wote wa africa. Dawa hii sijaona ushahidi kuwa inatibu. Wenye uelewa wataomba documentation ( protocol na results) au wataifanyia trials wao wenyewe. Vinginevyo bado ni kikombe cha Babu.
Wakati marais wengine wa Afrika wakisisitiza kwamba CVO ifanyiwe utafiti kwanza, Tz na Guinea mlikurupuka na mkapiga order ya kikombe cha Babu wa Malagasy. [emoji1] Nasikia mlituma ndege hadi Antananarivo. Itabidi muinywe tu ili mpunguze hasara na aibu, angalau itawasaidia kutokomeza Malaria. [emoji1] "Other African countries such as
Tanzania and Guinea-Bissau have made plans to import the tonic, which contains the artemisia plant, which is normally used to treat malaria".
 
Unaona waliopoteza uhai kama wazembe sana na wewe ni imara sana...unaona ufahari sana kuendelea kuwa hai na kusambaza sambaza taarifa na picha za waliokufa mitandaoni. Acha kiburi cha pumzi huna uimara wowote na wewe ni mtarajiwa, usiwabeze waliokufa sababu uhai wao hukuwapa wewe kiasi kwamba ulikuwa unajua Life time yao...Kila mtu alizaliwa kwa wakati wake na ataondoka kwa wakati wake. Wewe ni nani hasa?

Mimi ndiye ninayenasa hizo video mnazotupia kwenye mitandao, nyie wenyewe ndio mnazichukua na kuweka, mimi nafanya kuzijadili tu, huu ugonjwa unasababisha watu wapukutike kote so kwenu tu, hata huku kwetu.
 
EpidiusJF,

Wacha kufyatuka akili, tunawajadili hadi mitume waliokufa kitambo, hata wafalme na marais, ile umeanika taarifa za kifo cha mtu wako kwenye mitandao lazima ajadiliwe na watu, ukitaka asijadiliwe mzikeni usiku kimya kimya kama mnavyofanya wengine, lakini yeyote mnayemuanika atajadiliwa tu maana mumeshagoma kuchukua tahadhari, mumeamua kufanya madudu ya kila aina, sasa hivi vyombo vyote vya habari vimeelekeza darubini zao kwenu, kila kifo ambacho mnaachia bila kufcha kitakua kinaangaziwa sana.
 
Back
Top Bottom