Hakukuwa na umuhimu wa kuandika "mimi ni mtanzania"
Let the sane ones speak ww... Enda uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakukuwa na umuhimu wa kuandika "mimi ni mtanzania"
Habari za jamvini wanajamvi?
Kwa wale waliofatilia habari mbalimbali mitandaoni nadhani wameona habari kuhusu rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyatta kusimamisha kazi watumishi wa umma wapatao 175 kwa tuhuma za ufisadi na kati ya hao wamo Mawaziri 5, makatibu 6 wa kudumu na Magavana 10 wametajwa.
Lakini mh. Kenyatta alisema ''Ufisadi umevuka mipaka na lazima nasi tujifunge kibwebwe na kukabiliana nao''.''Natarajia kuwa wale waliotajwa katika ripoti hii watanga'tuka mamlakani hadi pale uchunguzi utakapokamilishwa ndipo warejee afisini.'' alisema Kenyatta.
Kenyatta aliongezea kusema kuwa ''Ninamtaka kiongozi wa mashtaka ya umma kuanzisha uchunguzi mara moja kuhusiana visa vyote vilivyotajwa humu katika kipindi cha siku 60 zijazo''.
Pia alisikitishwa na uwepo wa kamati ya bunge inayoshughulikia ufisadi kuwepo katika ripoti hiyo kama wahusika wa ufisadi.
MY TAKE
Kama kaka nae angeweza kua na ujasiri wa mdogo wake jirani basi kina vijisenti na vihela vya mboga wasingeshamiri.
Wewe sio mtanzania , tunakufaham unaishi kibera slum , kama unabisha sema tukuumbue wewe mkikuyu
Wewe sio mtanzania , tunakufaham unaishi kibera slum , kama unabisha sema tukuumbue wewe mkikuyu
I agree...no doubts...Mwigulu anaweza hili...!!
Ila USIMSAHAU LOWASSA ndio kazi zake...harembi...ukila cha UMMA...anazaa na ww...!!
Lowassa hacheki na wezi ya mali ya umma...!!
JK; my president; take a leaf from UK's work book, your legacy is at stake!!
====================
Source:nation
Kwetu itaondoka serikali nzima
Kwetu itaondoka serikali nzima