Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

Siasa zetu zemekua za kishamba sana, kura zilizoandaliwa kwaajili ya watu fulani zinapenyezwa kwenye sanduku la kura na tukihoji tunapewa kibano na vyombo vya dola.
Kama hivi
IMG_20201112_162210.jpeg
 
MMEPEWA NAFASI KWENDA KENYA MSITUPIGIE KELELE..MAANA ALITIA FITNA NYINGI AWEKE MTU ANAYETAKA KASHIKWA PABAYA SASA ANATAPATAPA..WAKIFIKIA KUANZA KUCHINJANA TUTAENDA KUWASULUHISHA ..NA KAMA UNAHASIRA SANA KAMSEMEE MAGU KWA AMSTERDAM SAWA MAMA..UKISHINDWA KAA CHINI FANYA KAZI
inaonyesha jiwe limewapata kweli...linauma eee?🤔
 
Siasa za Kenya huwezi fananisha na Tanzania.

Kila mtu anasiasa zake peke yake.
Damu ni ile ile risasi ni ile ile. Ghadaffi na Bushiri nao walisema siasa zao ni tofauti, South Africa walisemaga nchi yao ni tofauti. Binadamu ni walewale na wanataka uhuru na maendeleo bila kujali ni wapi na ndiyo maana kuna Tanzania diaspora, Kenya diaspora .. wote hao wanatafuta maisha tu.
 
Hili Kenyata ni liovu jingine! Halina moral authority kuongea whatever! Go fvck yourself! Hili lilimuuwa IT specialist wa IBEAC, Chris Msando! Bara letu limejaa criminals. Nyie mnayemshabikia humu ni pimbi tu kama pimbi wengine! Miafrika mingi ni minafiki ,fisi na nguruwe.
 
Mauaji ya Kibiti, Mkuranga, kigoma, chatto nk. Haijawahi kutokea umwagaji wa Damu wa hivi. Hatuna tofauti na Burundi Kwa Sasa. Na bado unalazimisha ushindi kwa watu waliomkataa
 
MMEPEWA NAFASI KWENDA KENYA MSITUPIGIE KELELE..MAANA ALITIA FITNA NYINGI AWEKE MTU ANAYETAKA KASHIKWA PABAYA SASA ANATAPATAPA..WAKIFIKIA KUANZA KUCHINJANA TUTAENDA KUWASULUHISHA ..NA KAMA UNAHASIRA SANA KAMSEMEE MAGU KWA AMSTERDAM SAWA MAMA..UKISHINDWA KAA CHINI FANYA KAZI
Povu kama la omo🤣🤣🤣
 
Tatizo watanzania wengi wamekosa uzalendo wa nchi yetu. Naagalia watu wengi humu mnakoment kwa mhemko. Alafu mbaya zaidi vijana wengi humu hajawahi vuka Tanzania japo mkae nje ya tanzania angalau mwaka mmoja. Kifupi tanzania ni nchi yetu sote lazima tuilinde na kuitetea.
Asante saana kwa maoni yako ndugu. Kunywa soda au bia, bill kwangu.
 
Uhuru ni hovyo mno, tena yeye kuua ni kugusa tu, kuna waziri alikuwa anaitwa Joseph Nkaissery wa mambo ya ndani , huyu alikuwa mlengo wa Raila , wakajua uchaguzi huu unakuja mambo ya kuamrisha polisi kupiga wafuasi wa Raila waziri hata kubali , walichofanya kina uhuru wakamuwekea sumu akafa mwezi mmoja kabla ya uchaguzi. Bado uchaguzi wa pili kuna dada mmoja alitorokea USA alikuwa senior wa IEBC alikuwa anatishiwa kuuwawa, alitoroka ghafla kwa mazingira ya kutatanisha, alikuwa anaitwa Rosenly Akombe, Uhuru ni hovyo mno. Yaani EAC hakuna nchi ya afadhali , marais wote wameingia kwa kuiba kura.
Uhuru hajawahi kushinda Kwa Kura za mabegi.
 
Kwa Ukweli,NAMPENDA SANA RAIS KENYATA.NI MFANO BORA WA MA-RAIS AFRICA NZIMA.HAKUNA KAMA YEYE.Alishinda U-Rais akaambiwa na mahakama Uchaguzi haukuwa huru na haki,kwa Hiyo Uchaguzi urudiwe Tena,na akakubali urudiwe.HAKUNA RAIS YEYOTE MWA-FRICA ANGEKUBALI HIYO KITU.NASEMA HAKUNA.Uchaguzi ulirudiwa na akashinda tena.Mungu akubariki Sana RAIS Kenyatta,UISHI MAISHA MAREFU.Umekuwa MFANO wa kuigwa.UNASTAHILI "NISHANI".
Katiba ya Kenya inaruhusu kurudia uchaguzi endapo kuna watu wamepinga matokeo ya uchaguzi
 
Acha ujinga mkuu! Kenyata juzi kamtimua makamu wake kisa madaraka ya 2022 hivi unajua hilo?

Kwanza unajua kama 2007 watu 1500 walikufa sababu ya kenyata na odinga?.

Kenya pale ni ukabila tupu, full uhasama, hawana choxhote cha kutwambia.

Mbowe na chadema wanashindwa kihalali kwenye box la kura katika uchaguzi wa kidemocrasi, sasa unataka nae aitwe waridhiane nini?
Meko anaogopa uchaguzi kuliko korona. Kura za kwenye mabegi ndizo anajivunia. Wananchi hawataki hata kumskia.
 
Back
Top Bottom