Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwan tanzania hamna watu waliokufa, vipi akina akwilini? Hata kama kuna mauaji kuomba radhi inaonyesha una ubinadamu!!Kwa hiyo kuomba radhi ilihali tayari kuna wakenya walikufa kwenye huo uchaguzi ndio unamuona kuwa ni bonge la kiongozi?
Akili za baadhi yenu ni upupu mtupu, MTU aweza omba radhi kinafiki na mkashangilia.
mnafurahisha sana,
Hiyo radhi unaona ni bonge la jambo yaaani.
Acha ulevi kwa kisiasa Hiv hujaona kabisa lengo lakeKuna mahali pameandikwa rais atukanwe? Mkuu this is not chit chat mkuu kama unaona mada imekuzi IQ rudi kule chit chat!!
Kwa hiyo Magufuli aombe radhi kwa kifo cha Aquiline? Haya mkuuKwan tanzania hamna watu waliokufa, vipi akina akwilini? Hata kama kuna mauaji kuomba radhi inaonyesha una ubinadamu!!
Katika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?
Soma tena mada alafu soma comment ya niliyemjibu alafu rudia tena kusoma nilichoandika. Acha kukurupuka.Kwa hiyo Magufuli aombe radhi kwa kifo cha Aquiline? Haya mkuu
I don't get you on the sincerity part. You have a point though DEEDS. A commission comprising of members from both sides has already been formed, to speed up the process. After the famous Uhuru-Raila handshake. If Uhuru succeeds in this, whether by default or design it will be a big plus for Kenya. We need to eliminate the elections demon for our future generations.Uhuru is not sincere unless he makes up for the injustices his government and the previous governments have done on the people of Kenya.
Just saying sorry is not enough. It must be accompanied by deeds!
Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.Nitaendelea Kumtusi Mlevi Uhuru na mama yake. Hata yesu alimtusi kiongozi wa siku hizo- King herod akamuita Mbwa wa msitu -Fox wala hakumwomba msamaha π

Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?Unataka atukanwe rais wetu uridhike,bullshit!
Usijisumbue bure, Madenge huyo.Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Hujasoma mwishoni mwa mada zoba squareKwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?
This column is all about Kenyatta, Rais mwenye hekima Africa.
Mmepotoshwa na maneno ya kahaba mange kimambi ambaye mchana kutwa ni kumtusi JPMKwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?
This column is all about Kenyatta, Rais mwenye hekima Africa.
Hahaha! Imekuuma sana kwamba JPM anatusiwa eeh? Tulia, ukilia mzee itakuwa ni aibu kubwa sana kwako. [emoji38]Mmepotoshwa na maneno ya kahaba mange kimambi ambaye mchana kutwa ni kumtusi JPM
Siumwi wala siwezi shugulika na maneno ya kahaba..Nina akili timamu πHahaha! Imekuuma sana kwamba JPM anatusiwa eeh? Tulia, ukilia mzee itakuwa ni aibu kubwa sana kwako. [emoji38]
Ungetafuta bango basi uandike kwamba una akili timamu alafu utembee nayo kila sehemu. Labda itageuka iwe kweli.Siumwi wala siwezi shugulika na maneno ya kahaba..Nina akili timamu π
Good idea πUngetafuta bango basi uandike kwamba una akili timamu alafu utembee nayo kila sehemu. Labda itageuka iwe kweli.
Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?
This column is all about Kenyatta, Rais mwenye hekima Africa.
πππAcha kujipendekeza, Wakenya dont give a shit about you, kwanza hata chadema hawajawahi kuisikia!