Rais Uhuru Kenyatta: Nisameheni, tuungane, tushirikiane kurekebisha majeraha na tusahau yaliyopita

Kwa hiyo kuomba radhi ilihali tayari kuna wakenya walikufa kwenye huo uchaguzi ndio unamuona kuwa ni bonge la kiongozi?

Akili za baadhi yenu ni upupu mtupu, MTU aweza omba radhi kinafiki na mkashangilia.
mnafurahisha sana,
Hiyo radhi unaona ni bonge la jambo yaaani.
Kwan tanzania hamna watu waliokufa, vipi akina akwilini? Hata kama kuna mauaji kuomba radhi inaonyesha una ubinadamu!!
 
Uhuru is not sincere unless he makes up for the injustices his government and the previous governments have done on the people of Kenya.

Just saying sorry is not enough. It must be accompanied by deeds!
 
Katika hotuba yake (State of the Union addresss) aliyoitoa bungeni jana, Rais Uhuru Kenyatta amewaomba radhi wakenya wote aliowaudhi kwa matendo yake au matamshi yake wakati wa ucnaguzi mkuu uliopita ambao ulishuhudia mchuano mkali kati yake na Raila Odinga. Katika mchuano huo Mahakama ya Juu (Supreme Court) ilibatilisha matokeo ya uchaguzi uliofanyika Agosti 8, 2017 na kufanya uchaguzi huo kurudiwa Oktoba 26, 2017. Rais Kenyatta aliwaomba wakenya waungane na wawe kitu kimoja katika kujenga taifa. Je tunapata somo gani kwa Rais kuomba radhi wananchi wake?

Acha kujipendekeza, Wakenya dont give a shit about you, kwanza hata chadema hawajawahi kuisikia!
 
Ametambua makosa yake amna kitu kigumu Kama kuomba msamaha
 
Uhuru is not sincere unless he makes up for the injustices his government and the previous governments have done on the people of Kenya.

Just saying sorry is not enough. It must be accompanied by deeds!
I don't get you on the sincerity part. You have a point though DEEDS. A commission comprising of members from both sides has already been formed, to speed up the process. After the famous Uhuru-Raila handshake. If Uhuru succeeds in this, whether by default or design it will be a big plus for Kenya. We need to eliminate the elections demon for our future generations.
 
Nitaendelea Kumtusi Mlevi Uhuru na mama yake. Hata yesu alimtusi kiongozi wa siku hizo- King herod akamuita Mbwa wa msitu -Fox wala hakumwomba msamaha 😀
Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
 
Unataka atukanwe rais wetu uridhike,bullshit!
Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?
This column is all about Kenyatta, Rais mwenye hekima Africa.
 
Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Usijisumbue bure, Madenge huyo.
 
Hujasoma mwishoni mwa mada zoba square
 
Mmepotoshwa na maneno ya kahaba mange kimambi ambaye mchana kutwa ni kumtusi JPM
 
achana na hilo shoga,jamaa anakurupuka ovyo tu😀
Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?
This column is all about Kenyatta, Rais mwenye hekima Africa.
 
Kwanza Uko wapi wewe kenge? Kama uko kenya hamia Tanzania ukione cha moto ndo utajua Kama kachumbari ni mboga au ni kiungo tu, pumbavu Sana wewe, Kenyatta ni Rais mwenye hekima, anajua kuna kesho hatakuwa rais, he prepares his tomorrow, njoo Tanzania ukutane na malaika nyoko wewe.
Na Rais wako kaingiaje tena hapa wewe zoba?
This column is all about Kenyatta, Rais mwenye hekima Africa.

Ninyi si ni wale wahanga wa awamu HII. Mliozoea dili. Sasa siku hizi hamna madili. Utaishia kutukana na yule mungu mke (goddess) wenu kimangi.
 
Back
Top Bottom