Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kwan tanzania hamna watu waliokufa, vipi akina akwilini? Hata kama kuna mauaji kuomba radhi inaonyesha una ubinadamu!!Kwa hiyo kuomba radhi ilihali tayari kuna wakenya walikufa kwenye huo uchaguzi ndio unamuona kuwa ni bonge la kiongozi?
Akili za baadhi yenu ni upupu mtupu, MTU aweza omba radhi kinafiki na mkashangilia.
mnafurahisha sana,
Hiyo radhi unaona ni bonge la jambo yaaani.