Rais Uhuru Kenyatta, William Ruto wafuata nyayo za Rais John Magufuli

Labda ungenijibu wewe
Kenya haijawahi kuipita Tanzania katika ranks za kidunia katika kipengele cha demokrasia tangu tupate uhuru, kila kitu kipo wazi google. Kuna links bingo Sana utazipata hii ni mojawapo www. eiu. com
 
Nilidhani Uhuruto wamekuwa madikteta kama nani.. Kumbe ni tantarira za vijiweni tu!
 
Ethiopia ilijiunga lini EAC
 
Kubana matumizi ya serikali ya kenya si kwa kupenda kwao. IMF imeamuru GoK wasitishe matumizi ya pesa kwa miradi mipya na matumizi hovyo lasivyo waondoe Foreign Exchange reserve safety net. Si kwa hiari yao kama vile JPM amefanya mwenyewe
Nchi ya Kenya imepita level flani ya uchumi sasa iko too big to fail. ndo maana akina IMF wanaweza kupatia Kenya precautionary loan ambayo haiguswi na mtu, iko tu pale inangojea tukipatwa na janga kuu ambayo itasababisha shilingi kushuka kwa kiasi kikuu kwa ghafla.

Hata hivyo, tumeweza kudhibiti sarufi yetu na tumekita kiuchumi, hata bila hio loan ya IMF foreign reserve ziko at an all time high
at $9B.
Kenya: Forex Deposits Hit All-Time High of Sh500 Billion
 
Last edited:
Kwa mtazamo wangu, kusafiri kusiko na tija sikubaliani nako. Lakini safari za kimkakati nitaziunga mkono.

Kusema ukweli kuendeleza safari kama za awamu iliyopita sikubaliani, kwa kuwa ilikuwa ni liability sana. Lakini kujifungia ndani kwa presider si vema sana, kwa mustakabali wa Nchi yetu kimataifa. Hata hivyo sijaona kama tumepoteza sana kwa Magu kutosafiri sana, badala yake naona wageni wakija na mambo yakienda aghalabu vizuri.

Hivyo basi nadhani hii ni namna Mh. Rais ameamua kuwa. Hivyo hii inaacha mjadala mpana kwa sisi raia, mjadala huu utaisha siku Mkuu atakapoamua vinginevyo na sasa, japo kutazaliwa mjadala mpya tena.
 


KAMA Greece ili-colupse sembuse Kenya. Kawadanganye wenzio huko Kenya.
 
Last edited:
KAMA Greece ili-colupse sembuse Kenya. Kawadanganye wenzio huko Kenya.
colupse ndio mnyama mgani mkuu? Kama Greece ili-colupse, si Tanzania basi ilikufa.
Budget ya Tanzania hiyo.
 
Putin pia
 
colupse ndio mnyama mgani mkuu? Kama Greece ili-colupse, si Tanzania basi ilikufa.

Budget ya Tanzania hiyo.
Mjinga ni yule anayejisifia matumizi makubwa badala ya kubana matumizi na kuongeza kipato
 
Kwan kuna tofauti gan ya kimatumizi anaposafir rais, makamu wa rais au wazir mkuu nje ya nchi.???
 
Wewe huwezi kuelewa!
Kuna mashirika ya ndege ya nje yamepunguza safari zake na mengine yamefuta kabisa kuja Dar, Maana wateja wao wakubwa walikuwa ni watumishi wa Serikali!
Usiongee vitu ambavyo huvijui kijana mdogo walahi!
That’s all!
KWELI KABISA
 
Jiwe kutosafiri kwake kumeinufaisha vipi Nchi ili hali bado umaskini ni wa kutupwa na still Nchi ni omba omba tu
Kwahiyo huoni?au unapinga tu mradi uonekane na wewe unapost...!
 
Haimaanishi eti ukikunywa soda badala ya pombe ndio utatajirika.
Ninazungimzia nchi inayojisifu kwa kuwa no bajeti kubwa wakati kasi ya kukua kwa uchumi wake inazidi kupungua na inaendelea kukopa pesa toka nchi zingine.
 
Ninazungimzia nchi inayojisifu kwa kuwa no bajeti kubwa wakati kasi ya kukua kwa uchumi wake inazidi kupungua na inaendelea kukopa pesa toka nchi zingine.
Hapo ndipo nasema ni kama wewe kujidanganya eti ukukunywa soda badala ye beer utatajirika.
 

Ingependeza kama ungeweka na madhara ya kufuta safari za nje, kwa sababu Kafanya Rais Magufuli sio kwamba ni jambo zuri kwa kila mtu kufanya....
 
Kubana matumizi ya serikali ya kenya si kwa kupenda kwao. IMF imeamuru GoK wasitishe matumizi ya pesa kwa miradi mipya na matumizi hovyo lasivyo waondoe Foreign Exchange reserve safety net. Si kwa hiari yao kama vile JPM amefanya mwenyewe
Sasa nyumbu wa chadomo wanaelewa foreign exchange reserves safety net kweli.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…