Rais Uhuru Kenyatta, William Ruto wafuata nyayo za Rais John Magufuli

Ndio nawajua mkuu, wa kwanza wewe hapo! Jiwe aanze kukushughulikia wewe maana asipokuwa makini utampindua!
Pambana kwanza na lichama lenu linalowafia kuliko kuweka nguvu nyingi kwenye already impossible things
 
Wewe ndo umenikabidhi hilo lichama? Wanasiasa akili zenu ziko masaburini sijui maana mnafikiri kila mtu mwanasiasa kama nyie
 
Hata mimi naona hivo...fungua jicho la tatu.
Vipi lakini kuhusu upatikanaji wa chakula?,huku chakula kimekiwa kingi mno hadi tunalazimika kufunga baadhi ya barabara ili zitumike kama hifadhi za chakula, karibu sana katika nchi ya maziwa na asali
 
NCHI AMBAYO INATUMIA BARABARA KUKAUSHIA NAFAKA INA KASORO...INA MAANA USAFIRI UPO CHINI MNO NA HOYO NI KIASHIRIA TOSHA NI NCHI MASIKINI.
 
Kenya is a very small economy,All countries including Tanzania that have IMF relationship enjoy a precautionary Forex Reserve facity incase CBK reserves run out.To continue enjoying this facility GoK was asked to start austerity measures.
Note: Healthy Forex reserves are not determined by the amount of money in reserve, but rather the number of months the reserve can sustain the import bill. Quoting 500bn is useless if it can only sustain 3 month import bill. Tanzania has 7 month worth of reserves, they wount require the IMF facility for a long time to come
 
Hshahaha nimekuambia tunatumia Kama ghala za kuhifadhia acha kupoteza ukweli, vipi huko kuhusu njaa?, karibu nchi ya maziwa na asali.
 
So you are admitting you've got poor infrastructure necessary to facilitate storage of grains?
 
Endelea kuwaelimisha hao nyang'au malipo yako utayakuta mbinguni, apart from tribalism, corruption and English their education system has nothing to offer.
 
NCHI AMBAYO INATUMIA BARABARA KUKAUSHIA NAFAKA INA KASORO...INA MAANA USAFIRI UPO CHINI MNO NA HOYO NI KIASHIRIA TOSHA NI NCHI MASIKINI.

Ahaaa haaa haaa
Mbona huku Ulaya kuna mitaa inafungwa kupisha wafanya biashara wadogo wadogo. Hususan ni hii summer.
 
So you are admitting you've got poor infrastructure necessary to facilitate storage of grains?
Tumezalisha 50pc zaidi ya kile tunachohitaji kwa ajili ya matumizi ya ndani na kuuza nje, ni sawa na kujenga bwawa lenye uwezo wa kuhifadhi lita billion moja lakini mvua zikazidi kiwango, lazima utalazimika kuayaacha maji ya ziada yazagae. Vipi njaa huko mbona hutaki kujibu?
 
Ahaaa haaa haaa
Mbona huku Ulaya kuna mitaa inafungwa kupisha wafanya biashara wadogo wadogo. Hususan ni hii summer.
Sasa LDC inajilinganisha na Ulaya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ miundo mbinu ndio nyinyi hamna.
 
Bila soko la nje chakula hicho kitakwenda wapi?... Huku tumeshiba tena sana hamna aneyelia njaa hata kidogo 2018.
 
Tumepata soko WFP watajenga ghala nyingi na kubwa ili wahifadhi hapa nchini, mwakani lazima mtakumbwa na njaa tena,watawapa kama Msaada, Tanzania ndio kimbilio na tegemeo lenu.
 
Nilifikiri hamhutaji maghala kisa kuwa mna barabara za kuhifadhia chakula...contradictory statements sawa na mdanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…