wala hakumfumania ila mume baada ya kipato kuongezeka alianza kumdharau mke wake ingawa alikuwa anampa matumzi ya nyumbani na maisha ya garama ila manyanyaso na kuona kama hastahili kuwa nae ndio yalimchosha huyo mama.itakuwa alimfumania mume wake. Au mume wake alikuwa Freemason akamtoa kafara.
😂😂😂😂😂😂 kipindi kigumu kwanini wasjiunge na fraha ilipo au hawajui kusoma alama za nyakatiChato kuna gnome imara ya Chadema ingawa inapitia kipindi kigumu sana
Ni kimsikia huyo huwa sitaki hata kuona picha yake kujimwambafai unamtaja wa nini sasaZama hizi watanzania wameamka hawababaiki na hayo maigizo ya CCM wanajua wajibu wa pesa za mlipa kodi ni kumletea maendeleo, hizo pesa na hiyo miradi siyo Hisani wala pesa binafsi za mtukufu, na pale Tazara lile ni daraja la upande mmoja siyo flyover ile isitoshe ile ni kazi ya Kikwete ingawa kipindi hicho mtukufu alikuwa waziri wa ujenzi.
kumbe mzee wa kaya alibwia sumu aisee tunamlaumu tu bure kumbe kichwani hayuko sawa,anatakiwa akaflashiweWatendaji vijiji na mitaa walimwambia ukweli kikao ikulu baada ya yeye kuwauliza vipy wananchi wanasemaje juu yangu? Jibu la jumuisho ' mzee wananchi hawakuelewi ! Alisononeka sana na ndio muendelezo wa maagizo maalumu.Tumuombee.
maneno kuntu !
Swali la kizushi mfano me ndo leo nimekuwa raisi naruhusiwa nikiwa ikulu kuoa wanawake wengine nitakavyo hii fursa nashangaa watu hawaitumii mabinti wataniumiza kichwa
nawe umekunywa sumu nini,tupe ushuhudaNinyi nyote mtakua ni wa-Kilimanjaro tu,wenye uchu na Ikulu muende kupata utajiri...MUNGU anawajua na hatawaruhusu
hayo yote bila upendo ni kazi bure. mzee ana chuki iliyokithiri dhidi ya watanzania wenye mtizamo tofauti na yeye.
Ni kweli watanzania wanataka mzunguko wa pesa mzuri maisha bora hawataki Hiyo miradi yao ya kugawana 10% kifisadiAfanye yote anayofanya watu hawamuelewi, watu wanataka pesa mtaani mzunguko uwe mzuri wapate mahitaji yao ya msingi chakula, mavazi na malazi bora na mahitaji yao mengine muhimu kwa binadamu, zaidi ya hapo hakuna anayemuelewa.
Mtukufu magufuli anaogopa uchaguzi kuliko hata ukimwiRais haogopi uchaguzi,bali kuna wapumbavu na malofa wanatikisa kiberiti,
Kitakwimu ccm imeshinda
Kwenye kuungwa mkono anajua watanzania wenye upeo hawawezi kumuunga mkono kwa sababu wanajua maendeleo ni haki ya walipa kodi siyo Hisani wala pesa binafsi za mtukufu malaika toka chato.Hiyo chuki ndiyo inatokana na nini wakati Watanzania amewafanyia yote hayo na ana uhakika wa kuwa tunamuunga mkono?
Ununuzi wa Ndege kuna ufisadi mkubwa ndiyo maana akamtoa kafara CAGMiradi inayogusa direct maisha ya wananchi haina 10% wataibaje ili wakawekeze Rwanda na Uganda?
Tumeambiwa tusipoichagua CCM maendeleo hatupati na lakuwafanya hatuna.Kwenye kuungwa mkono anajua watanzania wenye upeo hawawezi kumuunga mkono kwa sababu wanajua maendeleo ni haki ya walipa kodi siyo Hisani wala pesa binafsi za mtukufu malaika toka chato.
kila mtu hilo analifahamuUnunuzi wa Ndege kuna ufisadi mkubwa ndiyo maana akamtoa kafara CAG