Watendaji wa kata wote wanatumika kuudhofisha upinzani laana zitawaaanda sanakwa kizazi hiki cha twiter na ista CCM wanajisumbua tu na kujivua nguo.. wacha washinde wao 100% afu tuone maendeleo kwa 100% kwenye mitaa na vijiji
hata kama kuna ufisadi lakini vitu vinaonekana hebu elezeni ruzuku hakuna ufisadi kwa dj?kila mtu hilo analifahamu
ni ukosefu wa uzalendo tu ndiyo unaweza kufikiriakuwa anaogopa uchaguzi kwanza wapi alipoonyesha anaogopa uchaguzi wakati imchakato unaendelea uliona amesema uchaguzi hakuna? huo ni ulimbukeni msidanganywe na huyo dj kuwa ndiyo anaiweza nchi hii never
hawa ndiyo walewale wenye akili za kule kwenye chakula cha inzi kinapotokea watu wanaongea fact siyo mmekalia tu ooo maagizo maagizo kutoka kwa nani?
Kazi ya kuflashi ilifanyika Ujerumani tena kitaalam, yupo njema kichwani.kumbe mzee wa kaya alibwia sumu aisee tunamlaumu tu bure kumbe kichwani hayuko sawa,anatakiwa akaflashiwe
Timu ya mpira wa miguu huwa 11 kwa 11. Inashangaza kabla mpira haujaanza wachezaji 9 wa upande mmoja wanaambiwa wasicheze bali wacheze wawili tu dhidi ya 11.Mbaya zaidi waamuzi na wasimamizi wa mchezo woooote ni wa upande mmoja. Hiyo timu ikijitoa na kukuachia ushindi wa chee ili usherehekee unasema wameweka mpira kwapani. Ulichotaka umekipata bila hata kupiga mpira, tatizo li wapi sasa?Hakuna anyeogopa uchaguzi kwani ni nani katia mptra kwapani,fuateni sheria na taratibu,tatizo mnashinda sana mitandaoni kiasi mnasahau mnakuwa hamjui hata kujaza fomu.
Kwa ujinga wako unazani neno DJ ni tusi , ulimbukeni na hujuma za CCM vina uhusiano gani? Neno uzalendo kwa CCM linatumika kinyume, Uzalendo wa CCM ya wasukuma wawili Naibu Rais Daud Bashite na mtukufu ni kujiamulia miradi ununuzi wa Ndege kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, Uzalendo wa CCM ni kuwabambikia kesi, kuwapiga risasi, kuwapora ushindi wapinzani kwenye chaguzi zote, Uzalendo wa CCM ni kuwalipa cyprian Musiba, Joseph Yona na Le mutuz kutengeneza propaganda zisizo na Tija kwa Taifa, Uzalendo wa CCM ni kuwalazimisha wananchi kuipenda CCM kwa kisingizio cha kuleta maendeleo kwa pesa za walipa kodi ambao wengi siyo CCM, Kubali ukatae wewe peke yao huyo mtukufu anaogopa Uchaguzi hatupaswi kukuonyesha lakini ulipaswa uone mwenyewe kwa Akili zako.ni ukosefu wa uzalendo tu ndiyo unaweza kufikiriakuwa anaogopa uchaguzi kwanza wapi alipoonyesha anaogopa uchaguzi wakati imchakato unaendelea uliona amesema uchaguzi hakuna? huo ni ulimbukeni msidanganywe na huyo dj kuwa ndiyo anaiweza nchi hii never
Niliisikia hivyo huenda ni kweliAliahidiwa mlungula na ufadhili wa masomo ng'ambo..ila hakupata hata kimoja.
Kama mngekuwa hamuogopi nguvu ya umma iweje mpige marufuku kienyeji kinyume cha Sheria mikutano ya siasa? Ruzuku ya CCM inatumika vibaya kuhujumu upinzani genge la wajinga huko CCM mnafuja ruzuku ya CCM kwa kisingizio cha kurejesha mfumo wa chama kimoja.mnajidanganyaga sana eti nguvu ya umma ipo chadema? kwenye genge la wahuni kutatoka wapi nguvu ya umma wakati wanasubiri kula ruzuku tu na dj wenu
wewe hujui hata ruzuku yenu inavyoliwa na mbowe yaani mnateseka kumtetea mtu ambaye hawezi kusafishika hata kwa petroliKama mngekuwa hamuogopi nguvu ya umma iweje mpige marufuku kienyeji kinyume cha Sheria mikutano ya siasa? Ruzuku ya CCM inatumika vibaya kuhujumu upinzani genge la wajinga huko CCM mnafuja ruzuku ya CCM kwa kisingizio cha kurejesha mfumo wa chama kimoja.
Pambano na Ndondi Bondia wa CCM ana kg 120 heavy weight na bondia wa upinzani Kg 50 fly weight, refa wa CCM waamuzi wa mezani CCM, kabla ya Pambano bondia wa CCM yupo free kufanya mazoezi anapata huduma zote, na Bondia wa upinzani uzito Mdogo hana mazoezi na siku ya pambano anafungwa kamba mikono nyuma kisha pambano linaanza hiyo ndiyo CCM ya sasa, hakuna Ulingo sawa hakuna haki za binadamu tena.Timu ya mpira wa miguu huwa 11 kwa 11. Inashangaza kabla mpira haujaanza wachezaji 9 wa upande mmoja wanaambiwa wasicheze bali wacheze wawili tu dhidi ya 11.Mbaya zaidi waamuzi na wasimamizi wa mchezo woooote ni wa upande mmoja. Hiyo timu ikijitoa na kukuachia ushindi wa chee ili usherehekee unasema wameweka mpira kwapani. Ulichotaka umekipata bila hata kupiga mpira, tatizo li wapi sasa?
Angefanya walau robo ya aliyofanya Gadafi pale Libya.Wallah Mimi ningekuwa wakwanza kuomba atawale mileleHata Libya Gadafi aliwapa kila kitu isipokuwa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni.
Kilichotokea Libya imekuwa historia.
Wewe mwenyewe huna Akili ni mvuta Bangi ghetto kwa cyprian musiba huna unachokijua hujielewi ni mwehu fulani na mbumbumbu kilaza wa kutupwa na hapo ndipo CCM huchemsha kuwategemea mbweha kama nyinyi muitetee mitandaoni, badala ya kuitetea CCM mnaidhalilisha CCM zaidi na kama wewe ndiyo una Akili hapo CCM je hao wanaokutuma si watakuwa wendawazimu? Upinzani kuna viongozi wazuri wanafaa ukuu wa wilaya mikoa kila idara kwani hao wa CCM waliotawala miaka 58 wameleta maendeleo gani? Tanzania bila CCM mda huu ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa, lakini chini ya CCM chukua chako mapema hakuna maendeleo ya Nchi bali ukwasi wa CCM wao binafsi tu.nyie akili zenu zimeingia mafuta yataa au akili zenu zimehamia pale nyuma katikati nyie mkiachiwa nchi hamuiwezi mtagombania fito muda si mrefu acheni ujinga miradi yote hii inafanywa kwa pesa ya ndani mngekuwa nyie mngeweza? hamna sera hamna vichwa vya kufaa uongozi sasa hapo kwa mfano nikuulize unaweza ukampa nani kuwa rais na nani anafaa kuwa w/mkuu? maana naona wote wahuni tu
Eti na wewe ni mtetezi wa CCM mitandaoni? CCM kila kona wanachemshamnaingia uchagui bila kufundisha wagombea wenu ona walivyokosea sasa