Rais umekosea kuwakilishwa na Balozi kwenye mkutano wa EAC kuhusu Congo

Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya Congo kuwa sehemu yenye usalama na kusaidia nchi yetu.

Kwenye mkutano wa Kenya, Tanzania imewakilishwa na balozi yaani hata Makamu wa Rais au waziri wa ulinzi ameshidwa kwenda. Ni aibu na ni Rais gani ataongea vitu vya siri kwa balozi? Tusishangae balozi wetu kuwekwa nje wakati wakiongea mambo muhimu. Ni bora hata Rais Samia angetumia mtandao na sio hivi. Lakini kibaya tunaonekana dhaifu sana kwa Rais wa Congo kwasababu tu tunaogopa kumkasirisha Kagame kwa kupingana naye kwenye hili. Kikwete ndiye aliweza kumsema wazi wazi na Samia hapa kakosea na kuonyesha udhaifu mkubwa kwa majirani zetu.

Hiyo ni diplomatic gesture kwamba Tanzania haitashiriki michezo ya kuigiza. Wanadiplomasia wanaelewa vizuri maana ya downgraded delegation kwenye mkutano kama huu. Ni njia ya wazi kuwaambia EAC hawako serious. Kumbuka tuna majeshi yetu DRC chini ya UN. Hapa diplomatic tricks zimefanyakazi.
 
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya Congo kuwa sehemu yenye usalama na kusaidia nchi yetu.

Kwenye mkutano wa Kenya, Tanzania imewakilishwa na balozi yaani hata Makamu wa Rais au waziri wa ulinzi ameshidwa kwenda. Ni aibu na ni Rais gani ataongea vitu vya siri kwa balozi? Tusishangae balozi wetu kuwekwa nje wakati wakiongea mambo muhimu. Ni bora hata Rais Samia angetumia mtandao na sio hivi. Lakini kibaya tunaonekana dhaifu sana kwa Rais wa Congo kwasababu tu tunaogopa kumkasirisha Kagame kwa kupingana naye kwenye hili. Kikwete ndiye aliweza kumsema wazi wazi na Samia hapa kakosea na kuonyesha udhaifu mkubwa kwa majirani zetu.

Congo ni vichaa, hiyo mikutano haina tija yeyote
 
Tumuache mama kachoka.
Juzi tu alikua kwa ami wake, leo tena akwee mwewe? Jet fuels nayo bei juu
 
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya Congo kuwa sehemu yenye usalama na kusaidia nchi yetu.

Kwenye mkutano wa Kenya, Tanzania imewakilishwa na balozi yaani hata Makamu wa Rais au waziri wa ulinzi ameshidwa kwenda. Ni aibu na ni Rais gani ataongea vitu vya siri kwa balozi? Tusishangae balozi wetu kuwekwa nje wakati wakiongea mambo muhimu. Ni bora hata Rais Samia angetumia mtandao na sio hivi. Lakini kibaya tunaonekana dhaifu sana kwa Rais wa Congo kwasababu tu tunaogopa kumkasirisha Kagame kwa kupingana naye kwenye hili. Kikwete ndiye aliweza kumsema wazi wazi na Samia hapa kakosea na kuonyesha udhaifu mkubwa kwa majirani zetu.

Huo mkutano ungekuwa ughaibuni chifu angewasili akiwa wa kwanza
 
Maslahi yenu siyo maslahi ya Tanzania, wacha maneno 'kamundu'.

Tanzania imeshiriki kwenye mambo makubwa zaidi ya kutafuta maslahi kama haya mnayoyatafuta sasa hivi.

Tulipokuwa tunavuja damu katika ukombozi, nyinyi mlikuwa mkinywa chai na wakoloni. Sasa ndio mmekumbuka umuhimu wa amani, wakati wachokozi ni hao hao rafiki zenu?

Achana na Tanzania bhwanah. Nilishakwambia, kama uliamua kuja hapa, basi jivue kabisa uhuni wa huko ulikotokea, lakini naona huelewi kitu chochote.

Najua utalalamika, lakini utajielewa mwenyewe ninachokwambia.
Rais wetu ametumia busara kutokwenda huko , issue ya congo imekuwa influenced the Rwanda ambaye ni mwanachama wa EAC , then unataka tukae chini kuzungumza nini ,??????
 
Mikutano ya kikanda kuhusu Drc imekuwepo miaka nenda rudi lakini hakuna tija yoyote iliyopatikana.
Hii vita wahusika wake wanajulikana. Nampongeaza sana Samia, hiki kikao ni kikao cha kinafiki. Hembu fikiri unawaalika Uganda na Rwanda waje kusikiliza mbinu zenu halafu wakirudi wanaanza kuua vijana wako huku wakiendelea kuchota raslimali za Congo.
 
Niliwaza hivyo pia.DRC inatumia bandari yetu na nadhani wananunua mazao yetu sana kupitia Kasanga Rukwa hivyo ni partners wetu. Nadhani huu mkutano ulikua muhimu sana kwa mkuu wa nchi kuliko baadhi ya safari.
Kwenye hili hatukufanya sawa wallah.
 
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya Congo kuwa sehemu yenye usalama na kusaidia nchi yetu.

Kwenye mkutano wa Kenya, Tanzania imewakilishwa na balozi yaani hata MakaJ
Jakaya alikuwa chiboko wa PK alihamasisha akatwanga na M23 wake wakatokomezwa! Alipoleta fyoko operesheni kimbunga ikamrudishia mamluki na raia waliokuja kuomba hifadhi na kujifanya wanyambo.
Sasa huyu wa kurembua twaisha mawee!
 
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya Congo kuwa sehemu yenye usalama na kusaidia nchi yetu.

Kwenye mkutano wa Kenya, Tanzania imewakilishwa na balozi yaani hata Makamu wa Rais au waziri wa ulinzi ameshidwa kwenda. Ni aibu na ni Rais gani ataongea vitu vya siri kwa balozi? Tusishangae balozi wetu kuwekwa nje wakati wakiongea mambo muhimu.

Ni bora hata Rais Samia angetumia mtandao na sio hivi. Lakini kibaya tunaonekana dhaifu sana kwa Rais wa Congo kwasababu tu tunaogopa kumkasirisha Kagame kwa kupingana naye kwenye hili. Kikwete ndiye aliweza kumsema wazi wazi na Samia hapa kakosea na kuonyesha udhaifu mkubwa kwa majirani zetu.

Mm nina maono tofauti ... Kwan balozi akienda pale anaenda kuongea ya mdomoni mwake au ni msimamo wa serikali ? Naamini alipeleka msimamo wa serikali .....

Tz imekuwa na majeshi ktk vikosi vya monusco na iyo ni ishara tosha ya kupinga vitendo vya udhalimu na uvamizi wa nchi huru kama DRC, lkn poa mm nafikir awamu hii ya uongozi wa nchi ya DRC ni kama imechagua kuwa karibu zaidi na nchi ya kenya though i am not sure ..ila ni fikra zangu tu, sasa ktk hili sioni sababu ya kujishabihisha sanaaaaaaaaaa na uonhozi wa Felix .....
 
Tatizo la Congo DR ni la siku nyingi, nchi hii imekosa kiongozi wa kuiunganisha nchi hii kubwa ya DR Congo.

Historia inaonesha ina matatizo toka ipate uhuru, marais wanajifungia Kinshasa na wakijitahidi sana wanajiimarisha tawala zao ktk majimbo ya vijiji vya mababu zao tu majimbo mengine hawayachukulii kwa uzito kama yapo ndani ya taifa la DR Congo.

Mbaya zaidi kuna wadau wa kikanda na kimataifa wanaochochea hali hii ya DR Congo isitawalike kama nchi moja ili waendelee kuchimba na kupora rasilimali kubwa za madini katika taifa kubwa kieneo la Afrika.

Tanzania imeshatuma batallani za TPDF kulinda amani chini ya mwamvuli wa Umoja wa Mataifa / UN - monusco mara nyingi kwa miaka lakini juhudi hizo zinagonga mwamba kutokana na wadau-wenye tamaa za kupora mali za madini yenye thamani kubwa Congo.

https://monusco.unmissions.org › ba...
Background | MONUSCO - UN missions

Although significant progress has been achieved in the DRC since the establishment of UN peacekeeping operation there and the situation in ....Since 1999, about US$8.74 billion has been spent to fund the UN peacekeeping effort in DRC. As of October 2017, the total strength of UN peacekeeping

W5 + 1H
Tanzania ndio ilikuwa iwe mstari wa mbele kwenye hili. Ni nchi ya mfano kihistoria kutokana na vita ya ukombozi, ina batalioni mzima congo hivyo inajua siri za wapi silaha za M23 zinakotoka.
Uwepo wa rais wa Tanzania ulikuwa muhimu kuliko wakati wote. Sasa, kama kutokwenda ni kutotaka kuiudhi Rwanda, Congo tunaiachaje?
 
Kwa hiyo wewe ndio unajua Sana kuliko Rais,Mwanasheria mkuu na Wizara ya mambo ya ndani?

Tayari jeshi letu liko DRC so huo mkutano kwetu sio muhimu Sana ni kupiga kura tuu ya watakachokubaliana.
Kitendo cha jeshinletunkuwa Congo ilikuwa ni ujumbe tosha wa Tanzania kuwepo kwa level ya rais. Awaambie kuwa tumechoka na vurugu za huko.
 
Sasa huo si ni ujumbe ambao unaweza tuu kuwasilishwa na Balozi?

Kwanza sidhani kama CDF alishiriki hata mkutano wa ma CDF wa EAC wiki iliyopita.
 
Tanzania ndio ilikuwa iwe mstari wa mbele kwenye hili. Ni nchi ya mfano kihistoria kutokana na vita ya ukombozi, ina batalioni mzima congo hivyo inajua siri za wapi silaha za M23 zinakotoka.
Uwepo wa rais wa Tanzania ulikuwa muhimu kuliko wakati wote. Sasa, kama kutokwenda ni kutotaka kuiudhi Rwanda, Congo tunaiachaje?
Hilo jeshi la Tz ni sehemu ya Monusco, nadhani hawataingiliana kimajukumu na kikosi cha kikanda anachopendekeza Kenyatta.
mtu chake Moronight walker
 
Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya Congo kuwa sehemu yenye usalama na kusaidia nchi yetu.

Kwenye mkutano wa Kenya, Tanzania imewakilishwa na balozi yaani hata Makamu wa Rais au waziri wa ulinzi ameshidwa kwenda. Ni aibu na ni Rais gani ataongea vitu vya siri kwa balozi? Tusishangae balozi wetu kuwekwa nje wakati wakiongea mambo muhimu.

Ni bora hata Rais Samia angetumia mtandao na sio hivi. Lakini kibaya tunaonekana dhaifu sana kwa Rais wa Congo kwasababu tu tunaogopa kumkasirisha Kagame kwa kupingana naye kwenye hili. Kikwete ndiye aliweza kumsema wazi wazi na Samia hapa kakosea na kuonyesha udhaifu mkubwa kwa majirani zetu.

Watakuja hapa watakushambulia vibaya sana na hutoamini
 
Mambo ya muhimu ndio hawafanyi.

Ila Royal Tour walikaa marekani wiki nane.
 
Back
Top Bottom