Rais umewasikiliza wanaotaka katiba mpya! Je, sisi tusiotaka katiba mpya utatusikiliza lini? Tuna hoja!

Kumbe katiba ni kwa ajili ya kugawana asali?
Unauliza swali, au jibu? Unafikiri keki ya Taifa ni kwa ajili ya wajanja wachache? Keki ya Taifa inatakiwa igawanywe kwa wananchi wote, na kwa usawa.

Hivyo tunataka Katiba Mpya kwa ajili ya kunufaisha wananchi wote! Na siyo kwa ajili ya kikundi cha watu wachache ndani ya ccm.
 
Mnatuingiza kwenye vurugu ili mgawane keki tafuteni keki kwa njia sio vurugu
 
Hili ni moja ya maandiko ya kijinga kabisa kuwahi kutokea.
 
Weeee nawe akili zako mbovu na hao pimbi wenzio, hv unataka awasikilize na ninyi viziwi??? Wanasikilizwa wenye uhitaji tu , ww huitaji katiba sasa usikilizwe kwa lipi ??

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Uvccm mtasikilizwa wala ucjal!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…