Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama.

Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link hapa chini:

 
[emoji23][emoji23]
 
😂😂🖕🖕🖕🖕
 
Hizi habari nimezisikia sana . Yaelekea mabeberu wameshafañya Yao, Mwamba anaelekea Jongomeo🤔
 
kuna Propaganda kubwa sana ya kuaminisha Dunia kuwa operation inayoendelea ni Putin Vs Ukraine badala ya Russia vs (Ukraine + NATO).
 
Kazi kweli kweli!
Mara yuko mahututi,mara atakufa mwezi ujao,mara atakufa miezi sita ijayo! Mara amejificha Siberia haonekani!
 
Ha ha ha. mmeshindwa kwenye battle na Russia,Sasa hivi mmekuja kivingine!! Mpaka akamilishe mpango wa kuidondosha USA kwenye u super power ,hapo Sasa ndo anaweza ku rest easy,Ila kwa ss mtasubiri saaaaaaaaana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe akiri yako kweli imeloa
 
Vipimo vi wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…