Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

Je, Biden yeye atakufa baada ya miaka mingapi..?
 
Tulimpoteza mwamba Magufuli...na nchi inaenda tu..hata Putin kama akifa,sio kitu cha ajabu...wameishakufa viongozi mashuhuri na wababe wengi sana
 
Mmeamua kuanzisha uchuro sasa? Usiyempenda hafi miaka yote anadunda tu hata kama anatembelea dripu😀
 
Kuna taarifa kwamba rais wa Russia Bw. Vladimir Putin huenda akafariki dunia katika kipindi cha miaka mitatu ijayo kutokana na maradhi yanayomwandama.

Kwa taarifa kamili unaweza ukasoma hii Link hapa chini:

Sawa sawa CIA's chief of station hapo Uyole Mbeya
 
Back
Top Bottom