Tetesi: Rais Vladimir Putin anaweza kufariki dunia ndani ya miaka mitatu

Je, Biden yeye atakufa baada ya miaka mingapi..?
 
Nae ni binadamu tu udongo ataugusa
 
Tulimpoteza mwamba Magufuli...na nchi inaenda tu..hata Putin kama akifa,sio kitu cha ajabu...wameishakufa viongozi mashuhuri na wababe wengi sana
 
Mmeamua kuanzisha uchuro sasa? Usiyempenda hafi miaka yote anadunda tu hata kama anatembelea dripu😀
 
Sawa sawa CIA's chief of station hapo Uyole Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…