Rais Vladimir Putin mpaka leo bado anatumia 'Windows XP'

Rais Vladimir Putin mpaka leo bado anatumia 'Windows XP'

Anawatia ulofa tu wanahabari wanaopenda kupost kila jambo ambalo hawajui undani wake,unaweza kuta hyo kompyuta ni kuchezea karata tu.bt kwenye kazi anatumia nyingine so usiwaamini sana hawa jamaa kwan wamekaa kuongopeana ongopeana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kompyuta zilizopo ofisini pamoja na makazi yake rasmi zinatumia Windows XP.

Si Kompyuta moja, la hasha.

Kwa hiyo hata kama akienda kutumia nyingine ni hiyo hiyo yenye Windows XP.
 
Hii habari imetawala sana jana kwa wasomaji wa habari za Putin na Russia. Mkuu wa zamani wa KGB ambaye amezoea masuala ya bugs, viruses, backdoors, data breach, hacking hawezi kuwa victim wa OS ya kompyuta. Hata smartphone alisema hatumii

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
FRANC THE GREAT

Eti VLADMIR YUKO Premetive Kuliko Ww Kisa Hio Window [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Pole Sana MKUU

Sent using Jamii Forums mobile app
"Primetive" ni kitu gani?

Mimi nimesema ukiwa na Microsoft Windows toleo jipya zaidi kuliko XP, uko Updated zaidi kuliko Putin.

Kuwa Updated ni kwenda na wakati na kwa kutumia kigezo hicho cha Operating System, Putin hajaenda na wakati ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Putin hata 'Smartphone' tu anaiogopa. Internet ndiyo usiseme. Hahaha!
 
Anaiogopa ?!
"Premetive" ni kitu gani?

Mimi nimesema ukiwa na Microsoft Windows mpya kuliko XP, uko Updated zaidi kuliko Putin.

Kuwa Updated ni kwenda na wakati na kwa kutumia kigezo hicho cha Operating System, Putin hajaenda na wakati ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Putin hata 'Smartphone' tu anaiogopa. Internet ndiyo usiseme. Hahaha!
Kwa nn ana iogopa ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hyo window sio XP Kama tunavyodhan iko modified Sana yaaani mifumo yote iko na usalama Zaid mtu Kama Putin hawez tumia vitu kijinga kijinga

Mana karibu simu zote Zina cheap za kutransfer data kwa wahusika hasa hz za smart phone ndio balaaa Zaid

Ila kwa sababu hatuna watechnologist wa kutosha tutabaki kudukuliwa mpaka tupate akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa tupo nae sawa kiaina... Home pc yangu natumia xp ila laptop ndio Windows 7 Ofisini last year bado nilikuwa natumia xp But security nyingi natumia Windows 7 ten Siipendi... Ila hizi windows ni kama majini vile ukiizoea hutaki kuiacha Kama Mimi Windows nilianza na 486 ilipokuja Windows 95 Nikaipenda and ikaja 98 Nikaipenda mno hata zilipoanza kuja Windows Millenium Windows 2000 Sikuzipenda nilikuwa nakomaa na 98 ikisumbua unaipiga chini na unaiweka upya unaitumia kwa raha zote faster kwa memory kidogo tu RAM 256 Ilipokuja Windows xp niliona ina vitu vingi sana but nilipoizoea nikaipenda hadi leo... Sema kuna site tu zinazingua kwenye kudownload au kuistall apps.. but Windows xp Ni best Version ya Windows za Microsoft even hii Windows 7 ni kama wameikarabati Windows xp tu Sioni Tofauti... Labda Windows 10 iliyobanwa lakini ni Mule mule tu
 
Back
Top Bottom