Niliwahi kuwa Project Manager wa Project moja ya encryption ya kampuni moja kubwa, kampuni ilkuwa na ofisi dunia nzima.
Watu wanafanya kazi ku deploy encryption remotely, end points zina encrypt.
Wakipata issues wananiletea nazi resolve. Napeleka Project mbele na kutoa updates kwa wakuu.
Nchi mbili zilizonipa tabu sana kumaliza ile encryption zilikuwa ni Russia na Switzerland.
Russia walikuwa hawataki kuweka ile encryption, wakihofia Wamarekani watawadukua.
Putin alikuwa very suspicious.
Switzerland wao kila kitu wana extra privacy laws.
Inaonekana hata ku update OS yuko suspicious. Na hata hiyo computer ikiwa XP usifikiri ni XP ya kawaida, itakuwa very customized, na pengine customizations zao ndizo zinazowazuia ku update to a different OS.