STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Ndio, angalia apps kwa mfano WhatsApp, sasa hivi ziko kama 5 hivi ambazo kampuni wanazipiga ban, lakini wahuni tena madogo wa kawaida tu wanazitengeneza sawa na app ya WhatsApp ya kawaida na wanaweka ant bans, sasa hivi hawapati tena kuzikill zile aina nyingine, PIA, angalia watu wanavyotengeneza VPN za kufilter database, yaani ni sawa na sisi kuwa tuna Mlima kilimanjaro lakini Kenya wanatumia jina hilo hilo bila sisi kujua wanaingizaje mapato makubwa kwa kupitia Mlima wetu ili hali sisi hatuwezi, Dunia ya sasa ukianza watu wanamaliza kwa kile kile ulichoanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kumodify product ya mtu na kuitumia na kuingiza mambo yako pasina ruhusa ya mmiliki??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app