XP ni ya Microsoft wewe, au unataka kujifariji kwamba Putin anatumia XP ya Russia!!Wanafkiri anatumia xp ambayo ni originally ya Microsoft, Wamesahau sikuizi watu wanamodyfy kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi yangu siku moja huyu kilanja apigwe mpaka apotee ulimwenguni.
Wame modify vitu gani?Hiyo ya Putin ni Windows XP jina tu.
Ndani kiutendaji na usalama ni tofauti sana.
Watakuwa wamesha modify vitu vingi mno kukabiliana na software bugs au back doors zozote.
Kompyuta zilizopo ofisini pamoja na makazi yake rasmi zinatumia Windows XP.Anawatia ulofa tu wanahabari wanaopenda kupost kila jambo ambalo hawajui undani wake,unaweza kuta hyo kompyuta ni kuchezea karata tu.bt kwenye kazi anatumia nyingine so usiwaamini sana hawa jamaa kwan wamekaa kuongopeana ongopeana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
KGB haipo tena siku hizi.Danganya toto hiyo...!!!
KGB ina hadaa watu hapa!
No matter chanzo cha taarifa ni kipi...
Sent from my iPhone using JamiiForums
"Primetive" ni kitu gani?FRANC THE GREAT
Eti VLADMIR YUKO Premetive Kuliko Ww Kisa Hio Window [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole Sana MKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana modify nini?Wanafkiri anatumia xp ambayo ni originally ya Microsoft, Wamesahau sikuizi watu wanamodyfy kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn ana iogopa ?!"Premetive" ni kitu gani?
Mimi nimesema ukiwa na Microsoft Windows mpya kuliko XP, uko Updated zaidi kuliko Putin.
Kuwa Updated ni kwenda na wakati na kwa kutumia kigezo hicho cha Operating System, Putin hajaenda na wakati ama kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Putin hata 'Smartphone' tu anaiogopa. Internet ndiyo usiseme. Hahaha!
KGB haipo tena siku hizi.
KGB ilikuwa ya iliyojulikana km soviet union baada ya kusambaratika haipo tena Urusi iliyopo inaitwa FSB.
Yes, ilivunjwa lakini hao FSB ni wale wale tu, chimba kiundani utaelewa vyem...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mchakato na kutokana na changamoto nyingi, bado hilo halijafanikiwa.Kwanini Urusi wasitengeneze OS yao ambayo ni salama zaidi?
Sababu mojawapo na pengine kuu zaidi ni hiki kitu kimoja kinachoitwa 'Espionage'.
Kwa nini "kilanja" apigwe?Maombi yangu siku moja huyu kilanja apigwe mpaka apotee urimwenguni.
Sent using Jamii Forums mobile app
???!!!Sababu mojawapo na pengine kuu zaidi ni hiki kitu kimoja kinachoitwa 'Espionage'.
Kuna whatsap ngapi mkuu? Gb whatsap, yo whatsap ni za whatsap original?XP ni ya Microsoft wewe, au unataka kujifariji kwamba Putin anatumia XP ya Russia!!
Sent using Jamii Forums mobile app