Mbinu za kudanganya adui hizo!! CIA waanze kuhangaika kuhack window XP za kremlin kumbe jamaa wanatumia Os tofauti kabisaAnawatia ulofa tu wanahabari wanaopenda kupost kila jambo ambalo hawajui undani wake,unaweza kuta hyo kompyuta ni kuchezea karata tu.bt kwenye kazi anatumia nyingine so usiwaamini sana hawa jamaa kwan wamekaa kuongopeana ongopeana tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama GB whatsap walichofanyaWame modify vitu gani?
Kama GB whatsap walichofanyaWame modify vitu gani?
Kwa sababu gani?Jf ingekuwa Russia au US nadhani hii post ingehamia chit-chat
Binafsi ni mara ya pili unatoa ushuhuda wa namna hii. Kazi njemaNiliwahi kuwa Project Manager wa Project moja ya encryption ya kampuni moja kubwa, kampuni ilkuwa na ofisi dunia nzima.
Watu wanafanya kazi ku deploy encryption remotely, end points zina encrypt.
Wakipata issues wananiletea nazi resolve. Napeleka Project mbele na kutoa updates kwa wakuu.
Nchi mbili zilizonipa tabu sana kumaliza ile encryption zilikuwa ni Russia na Switzerland.
Russia walikuwa hawataki kuweka ile encryption, wakihofia Wamarekani watawadukua.
Putin alikuwa very suspicious.
Switzerland wao kila kitu wana extra privacy laws.
Inaonekana hata ku update OS yuko suspicious. Na hata hiyo computer ikiwa XP usifikiri ni XP ya kawaida, itakuwa very customized, na pengine customizations zao ndizo zinazowazuia ku update to a different OS.
Hiyo OS tofauti ni OS gani?Mbinu za kudanganya adui hizo!! CIA waanze kuhangaika kuhack window XP za kremlin kumbe jamaa wanatumia Os tofauti kabisa
Windows sio mchezo MkuuuKwanini Urusi wasitengeneze OS yao ambayo ni salama zaidi?
Shida ni hofu kubwa ya kudukuliwa.
Ss kmbe anafanya kwasababu maalum knashda ganShida ni hofu kubwa ya kudukuliwa.
Huko kuwa "kistratejia" ni pamoja na research na development ya mifumo yako mwenyewe ili kuongeza Confidentiality ya taarifa zako.
Mipango ya kufikia huko ipo na inatekelezwa ila bado changamoto ni nyingi.
Kuna whatsap ngapi mkuu? Gb whatsap, yo whatsap ni za whatsap original?
Hahahah! Yaan hii yote ni ili tu upate faraja Putin hatumii window XP ya Microsoft, kuhusu whatsapp ukishasema 'whatsapp messanger' iko moja tu.Kuna whatsap ngapi mkuu? Gb whatsap, yo whatsap ni za whatsap original?
Mbona mnashupaza shingo zenu, Marekani mwenyewe alikuwa anatumia KASPERSKY ANTI-VIRUS kwenya computer zake mmeshawahi jiuliza inatokea wapi hiyo kampuni!?...Hahahah! Yaan hii yote ni ili tu upate faraja Putin hatumii window XP ya Microsoft, kuhusu whatsapp ukishasema 'whatsapp messanger' iko moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
KASPERSKY ni ya Urusi,Mbona mnashupaza shingo zenu, Marekani mwenyewe alikuwa anatumia KASPERSKY ANTI-VIRUS kwenya computer zake mmeshawahi jiuliza inatokea wapi hiyo kampuni!?...
Unapopigwa gap kubali kuendana nalo!..
Ya USA na hajaona aibu kusema anaitumia!.KASPERSKY ni ya Urusi,
Eti Windows XP ambayo na Putin anatumia ni ya wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya Putin ni Windows XP jina tu.
Ndani kiutendaji na usalama ni tofauti sana.
Watakuwa wamesha modify vitu vingi mno kukabiliana na software bugs au back doors zozote.
Mbinu za kudanganya adui hizo!! CIA waanze kuhangaika kuhack window XP za kremlin kumbe jamaa wanatumia Os tofauti kabisa