Rais wa Al Hilal apingwa vikali baada ya kutangaza ofa kwa mashabiki wa Simba kusafirishwa kwenda Sudan

Aibu naona mimi eti!
Lazima uone kipindi mnapokea wageni airport mlikaa kimyaa na mlikuwa mnaenda kwa nauli zenu wenyewe sasa simba wanalipiwa kila kitu siku ile engineer hersi senzo na nguruwe pori wanavaa jezi za Orlando pirates mlikaa kimyaa badala ya viongozi kukemea wao wanasapoti upuuzi kibao kimegeuka sasa zamu yenu
 
Kwa hyo comment ya mtu mmoja ndo inakufanya uamini huyo anatoka sudan na amewakilisha mashabiki wote wa yanga kweli kule wenye akili ni wawili tu.
 
Tena na nguruwe pori pamoja na gef lea wakasambaza propaganda ila wamesahau
 
Acha fujo fundi kapumzika
 
Na umeamini huu Utopolo kweli? Believe this you will believe anything under the sun.
Lakini si mlishangilia? Na mlijiita kabisa eti nyinyi ni waarabu weusi! Sasa kwa nini msipate mwaliko kutoka kwa rais wa timu yenu ya kiarabu!
 
Unaonekana ubaguzi unakutesa sana,vipi ingekua aliyetoa hiyo ofa ni Mzungu?
 
Na umeamini huu Utopolo kweli? Believe this you will believe anything under the sun.
Soma hapo juu! Shabiki mwenzako anafurahia kulipiwa tiketi na Waarabu! Ila wewe unakataa.
 
Wao ata wakibeba mashabiki wote wa simba nchi nzima kama imeandikwa wanaondoshwa kwenye michuano wataondoka tu watake wasitake, Na wasiishie hapo wawalipie na viongozi wa simba wakawape sapoti uko lakini mbungi itapigwa mpaka watashangaa nyie tulieni, Mpaka hapo wanazidi kuchochea morali ya jeshi la wananchi bila wao kujielewa patachimbika
 
Hii ndiyo sifa yenu kubwa humu. Sijajua ni kwa namna gani Mwenyezi Mungu amewaumba pasipo na kasoro yoyote ili kwenye miili yenu kiasi cha kuwakejeli binadamu wengine.
Unamuona manara anavyofanya kwenye Instagram page yake basi yule ndo ulitakiwa umpe somo kwanza.
 
Akuanzae mmalize. Akumulikae mchana usiku atakuchoma na kile kiendacho kwa kuzunguka hurudi kwa kuzunguka. Ubaya mliuanza wenyewe vumilieni tu. Kitendo cha kuzipokea timu zilizokuwa zinakuja kucheza na Simba na kuzipa mbinu ndiyo sababu ya yote haya mnayoyashangaa sasa. Msumari huooo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…