Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

Familia ya Mwinyi ni familia nzito. Suala dogo Kama Hilo haliwez kuwaumiza kichwa .

Ukielewa kwamba waislam hawaagi maiti na. Pia mazishi Yao hayana Mambo mengi na ni chap Kwa haraka utaona utaelewa Zaid.
 
Kama Mzee Mwinyi akitangulia mbele za haki anaweza zikwa popote na tusijue.

Ni Kama vile ambavyo wengi hatujui ni wapi haswa alizikwa JPM.
 
Mzee pia alishawahi kuwa kiongozi wa JMT, ameishi Bara, mahala pa kuzikwa siku zote ni chaguo la marehemu, haiwezekani na haitakiwi yeyote nje ya marehemu abadilishe huo msimamo.
Akizikwa bara mkuranga, wazazibari watahoji kuwa kumbe huyu si wa hapa ni wa kuja, VIPI TUTAWALIWE NA WAGENI.............MEANNG MWIYI THE CURRENT PRESIDENT! HATACHAGULIWA KIPINDI CHA PILI IWE CCM AU VYAMA VINGINE
 
Akizikwa bara mkuranga, wazazibari watahoji kuwa kumbe huyu si wa hapa ni wa kuja, VIPI TUTAWALIWE NA WAGENI.............MEANNG MWIYI THE CURRENT PRESIDENT! HATACHAGULIWA KIPINDI CHA PILI IWE CCM AU VYAMA VINGINE
Taarifa za Kijasusi lengo lake ni kutanabari tu na Hakuna anayelazimishwa kuamini ; muhimu hapo ni kama basi mwisho ukimfika …. Wafanye vile alivyotaka yeye … na waifanye kitu kwa manufaaa ya muda mfupi kisiasa …. Akiwa na akili tumamu ulikua ndio muda wa kumshawishi yeye abadili

Kwa wale ambao hamjui viongozi wote wakuu mara kwa mara hutakiwa kwa siri kuandika ni wapi watataka kuumzika iwapo mauti yatawafika …. Kuna siku kwa bahati mbaya Magufuli ilitokea akaropoka … kuwa aliwapigia simu viongozi wakuu “na Hakuna mmoja aliyechagua kuzikwa makaburi ya viongozi dodoma akaamua kuyafuta … “
Hivyo basi kwenye rejea hizo ina maana mzee Mwinyi naye wanajua alichagua wapi ( sasa hata kama sio Zanzibar ni muhimu tu Wakaheshimu matakwa hayo

Mfano Rais mstaafu Marehemu Mkapa inajulikana kuwa hadi miaka ya karibuni alikua amejiandaaa Lushoto pale ndio pawe kila kitu kwake …. Alikuja kubadili baadaye … ina maana kila mwaka wanaupdate matakwa yao …..

Hakuna siri juuu ya Asili ya Mkuranga kwani hata kwenye kitabu kaeleza kuwa Ndillko kazalika na wana Makazi huko ambako baba yake alizikwa na hata mwanaye ndooo jimbo lake la kwanza kuliwakilishaa …. Kama ni zanzibar kwenye kitabu Kasema alienda tu kusoma madrasa kwa rafiki wa baba yake akaamua kulowea ….

Haya yanasemwa ili tusiingie kwenye tamaaa ya kufanya mambo kwa kuhofia watu kwani hilo hata yeye hakufanya siri juu ya asili yake
 
Screenshot_20240301-070504.png
 
Back
Top Bottom