Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ampe uzima...
Yasije tu yakatimia maneno ya yule nabii wa bendera nusu mlingoti wakati wa kuvuta kwa JPM maana kashatapika jambo baya juzi juzi tu hapa Januari 1 juu ya mzee Ruksa...
Sikiza kuanzia 1:20, then 1:50
View: https://youtu.be/KWOJsq9NpXU?si=vWfL1rxdrh-kr7ZU
Ndiyo umri nitakaofikisha mie,🙏🏽🙏🏽🙏🏽Ndugu zangu Watanzania,
Ndugu Abdullal Alli Mwinyi Msemaji wa familia ya Rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Mwinyi ameiomba jamii kumkumbuka mzee wetu na Rais wetu mstaafu kwa sara,dua na maombi.
Ambapo amepelekwa hospitalini kutokana na maradhi ya kifua na kuendelea kupatiwa matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari wake.
Kwa hiyo watanzania wenzangu tumuombee mzee wetu na Rais wetu mstaafu ambaye ndiye muasisi wa mageuzi ya kisiasa hapa nchini.
Ni wakati wake ndio mfumo wa vyama vingi uliingia nchini na demokrasia kuanza kuchukua nafasi yake na kutoa nafasi ya watu kuzungumza kwa uhuru bila shida. Ni wakati wake ambapo mabadiliko makubwa sana ya kiuchumi yalifanyika katika kuwaondoa watanzania katika dimbwi la umaskini uliotopea.
Kwa waliosahau au kutoelewa ni kuwa mzee wetu huyu hapo mwakani panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu atatimiza miaka mia moja yaani karne moja.jambo ambalo kiukweli kufikisha umri huo hapa Duniani ni lazima umshukuru Mungu na kusema imekuwa hivyo kwa neema tu ya Mungu.
Hivi huyu jamaa huwa Kanisa lake liko wapi? Maana huwa anaongea mambo mazito
Asante Mkuu! Nitaenda J.pili Moja!Mbezi Beach upande wa baharini, karibu na njia ya Whitesands...
Kuna mitaa fulani ina apartments nimesahau jina lake, kanisa lipo hapo pembeni...
Asante Mkuu! Nitaenda J.pili Moja!
Thanks a trillion!!Drop hii location kwenye google map -6.692938,39.217022 (OMEGA MINISTRIES CHURCH OF ALL NATIONS - PROPHET S.S ROLINGA)
Tupo kutalii NgorongoroMods sikuhizi mnalala saa moja jioni?
Walishaomba faragha ya mgonjwa lakini hulika sio ya mwafrika watanzania kutoheshimu faragha za watu na kupenda umbea majungu chuki na uchimvi yamepelekea kuleta hiyo tungo tata!Taarifa za Jasusi Chahali zina kila uwezekano wa kuwa kweli ; kuna mtu anaogopa wosia wa Mzee kutaka azikwe pembeni ya baba yake mkuranga ukitekelewa atakosa madaraka ….
Sasa Atujui nini kinaendelea kama yuko hai au yuko kwenye friji hadi familia ifike muafaka
Huyu ni mali ya Watanzania , kama alia usia akifa arudishwe MKURANGA .. tafadhali msibadili kwa tamaaa ya madaraka ; atawajia usiku
—/———————————————————
Somo: Situation report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi.
Usuli wa ripoti:
Majuzi, familia ya Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi ilitoa taarifa kwamba kiongozi huyo wa zamani anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari baada ya kupelekwa Hospitali [haikutajwa] kutokana na kuugua maradhi ya kifua.
Kinachoendelea:
Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi alitoa maagizo huko nyuma kuhusiana na mustakabali wake, na nini familia yake inapaswa kutekeleza.
Hata hivyo, maelekezo hayo yamepelekea mvutano kwa sababu endapo yatazingatiwa, yatakuwa na athari kubwa za kisiasa huko Zanzibar.
Mvutano huo umedumu kwa siku kadhaa sasa na inaelezwa kuwa mmoja wa wanafamilia anayeamini kuwa kutekelezwa kwa matakwa ya Mzee Mwinyi kutakuwa na athari kwake kisiasa, amekataa katakata “kumaliza suala hilo” kinyume na matakwa yake.
Kwa lugha nyingine, ili umma ufahamishwe “kisichoelezwa hadi sasa,” ni pale tu matakwa ya mwanafamilia huyo yatakapotekelezwa japo ni kinyume na matakwa ya Mzee Mwinyi mwenyewe.
“Amesema hata kama itachukua mwaka mzima na iwe hivyo lakini kamwe hatokubali…anahofia matakwa ya Mzee yakitekelezwa, maadui zake wa kisiasa watesema si tuliwaambia huyu mtalii kutokana Bara?” kilieleza chanzo kimoja cha kiintelijensia.
Mustakabali:
Wakati hayo yakiendelea, mamlaka za kiserikali upande wa Muungano na Zanzibar zimekuwa zikipitia wakati mgumu kwa sababu haziwezi kutamka lolote bila idhini ya familia.
Hata hivyo, kuna dalili za “ushindi” kwa mwanafamilia anayetaka matakwa yake yatekelezwe japo ni kinyume na matakwa ya Mzee Mwinyi. Katika hilo, kuna dalili kwa mamlaka za kiserikali za Muungano na Zanzibar kuridhia matakwa ya mwanafamilia huyo muda wowote kuanzia sasa.
Na pindi hili likitokea, wananchi watapewa taarifa ambazo hadi wakati ripoti hii inaandikwa zimekuwa restricted [zimezuiliwa].
Hitimisho:
SITREP ijayo itafafanua zaidi kuhusu yaliyomo kwenye SITREP hii pindi taarifa hiyo ya familia itakapokuwa unrestricted.
ANGALIZO: Ripoti hii imeheshimu haki ya faragha ya familia ya Mzee Mwinyi na ndio maana kuna baadhi ya maelezo hayajawekwa wazi. Hata hivyo, ukweli kwamba Mzee Mwinyi sio tu alikuwa kiongozi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali pia ni kipenzi cha Watanzania wengi ambao pia wana haki ya kufahamishwa kuhusu maendeleo ya kiongozi wao na kipenzi chao, umelazimu kuchapishwa kwa SITREP hii.
kuna kababu ka lidinya mpaka mama mzaziTaarifa za Jasusi Chahali zina kila uwezekano wa kuwa kweli ; kuna mtu anaogopa wosia wa Mzee kutaka azikwe pembeni ya baba yake mkuranga ukitekelewa atakosa madaraka ….