Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Mmesha wakamata hao watu?Kifo Cha Magufuli ni Mpango wa watu. Asinge tangazwa mpango kabila haujatimia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmesha wakamata hao watu?Kifo Cha Magufuli ni Mpango wa watu. Asinge tangazwa mpango kabila haujatimia
Mungu ampe uzima...
Yasije tu yakatimia maneno ya yule nabii wa bendera nusu mlingoti wakati wa kuvuta kwa JPM maana kashatapika jambo baya juzi juzi tu hapa juu ya mzee Ruksa...
Sikiza kuanzia 1:20, then 1:50
View: https://youtu.be/KWOJsq9NpXU?si=vWfL1rxdrh-kr7ZU
Mungu ampe uzima...
Yasije tu yakatimia maneno ya yule nabii wa bendera nusu mlingoti wakati wa kuvuta kwa JPM maana kashatapika jambo baya juzi juzi tu hapa juu ya mzee Ruksa...
Sikiza kuanzia 1:20, then 1:50
View: https://youtu.be/KWOJsq9NpXU?si=vWfL1rxdrh-kr7ZU
Anamaanisha kete Moja ya pool table ikipiga mwenzake inapiga na mwenzake yaani domino effect,Yaani hiyo ikiwa hivyo na mwingine nae pia anakua hivyo,hii husaidia kufanya maamuzi mapya na mwelekeo mpya!!Kuwa ANATUBANA?
Pale Huwa hawatoki pale sijui Kuna mzimu gani pale!!labda Kuna bara bara ya kuzimu pale!“Emilio Mzena Memorial Hospital”
Mungu ampe uzima...
Yasije tu yakatimia maneno ya yule nabii wa bendera nusu mlingoti wakati wa kuvuta kwa JPM maana kashatapika jambo baya juzi juzi tu hapa Januari 1 juu ya mzee Ruksa...
Sikiza kuanzia 1:20, then 1:50
View: https://youtu.be/KWOJsq9NpXU?si=vWfL1rxdrh-kr7ZU
Kuelewa unabii kazi sana
Na mbaya zaidi hutolewa Kwa mafumbo....
Ila wa rohoni washaelewa
Yes,hapa kajitahidi kiasi ...Lakini kwenye hiyo clip, kaongea wazi wazi kabisa, ishu ni kwamba familia itaomba au inaelewa namna ya kuomba kuepusha balaa?
Inshallah Allah amfanyie wepesi yeye pamoja na wagonjwa wengine.🙏🏽NEWS ALERT: TAARIFA KWA UMMA JUU YA AFYA YA RAIS MSTAAFU ALHAJI ALI HASSAN MWINYI USIKU HUU.
View attachment 2892742
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua.
Kwa mujibu wa taarifa ya familia, Alhaj Mwinyi anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari.
"Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa anapatiwa matibabu.
"Hivyo Familia inaiomba jamii kumkumbuka kwenye Dua,
Sala, na Maombi.
"Tunamuomba Mwenyezi Mungu amjaalie shifaa ya haraka Mzee wetu pamoja na wagonjwa wengine wote wanaokabiliwa na maradhi mbali mbali," imesema taarifa hiyo iliyotolewa usiku huu na Msemaji wa Familia, Mhe. Abdallah Ali Mwiny.