Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

Rais wa Bolivia ajiuzulu na kutanganza uchaguzi mpya kutokana na machafuko nchini humo

Na breaking News ameikimbia nchi!!!amekimbilia mexico sasa na yeyey akaishi ukimbizini auone machungu yake.
 
Wanafunzi wa vyuo wakiamua inawezekana. Ila wanafunzi wetu kutwa insta na kupanga mbinu za kuingia na chabo
 
Uchaguzi wa Bolivia ni moja ya haina ya chaguzi za madikteta ambao wakiwa madarakani wanajiona kuwa bila wao hakuna maendeleo. Na viongozi wengi wa kidikteta wanapenda kuongoza kwa mtindo wa one man army hawataki ushauri ujiona werevu kila jambo hawataki wapingwe hata kama wanavunja haki za binadamu. Nakumbuka Morales alivyowavimbia marekani na washirika wake na alijitahidi kuwaaminisha wananchi wa Bolivia kuwa wale ni mabeberu na alikua anatembea nchi nzima kugawa mihela hadi ikafikia hatua ya kuruhusu zao coca kulimwa eti kwa sababu za kibiashara, haohao waliomshangia akigawa fedha barabarani ndio waliomgeuka baada ya kugundua anawauwa anawanyanyasa anawaibia. Hili Lowe funzo kwa huyu dikteta wetu.
 
Wachunguzi wa Kimataifa waliokuwa wakichunguza Uchaguzi ulifanyika Nchini humo jana walitengua matokeo yaliyomtangaza Rais Evo Morales mshindi wakisema kulikuwa na udanganyifu katika upigaji kuwa wa Oktoba 20

Morales alikubaliana na Uchunguzi huo na kutangaza uchaguzi mwingine mpya ikiwa ni baada ya kuivunja Tume ya Uchaguzi wa Nchi hiyo huku akiwataka Wananchi kuacha vurugu na kuharibu mali hovyo

Rais huyo amenukuliwa akisema kwamba ameamua kuitisha uchaguzi mwengine ili Wananchi wa Bolivia waweze kuchagua Serikali mpya kwa njia ya kidemokrasia

Kwa wiki kadhaa Bolivia imeshuhudia machafuko na ghasia dhidi ya madai ya udanganyifu katika uchaguzi wa Oktoba 20 ambapo Watu watatu wameuawa na zaidi ya 300 kujeruhiwa

Matokeo ya uchaguzi uliopita yalimpa ushindi Morales kwa asilimia 10 dhidi ya mpinzani wake Carlos Mesa na kusababisha upande wa upinzani kuishutumu Serikali kwa udanganyifu.
***

Bolivian President Evo Morales has resigned amid turmoil following his disputed re-election last month.

On Sunday, international monitors called for the election result to be annulled, saying they had found "clear manipulations" of the 20 October poll.

Mr Morales agreed with the findings and announced his intention to call fresh elections - after overhauling the country's election body.

But politicians - and the army and police chiefs - had urged him to quit.

Some of his allies were attacked earlier this week, and said their homes had been set alight.

In a televised address, Mr Morales said he would resign as president, and urged protesters to "stop attacking the brothers and sisters, stop burning and attacking".
Ngozi nyeupe wana play smart sana, ngozi nyeusi angeingia msituni, maamuzi aliyoyafanya evo morales ni ya busara sana
 
Mleta thread unamuwashia indiketa jiwe letu

Hah hah ! Hii media yetu ya JF ni huru. Tunahabarisha na kuelimisha iwe sayansi ya politiki ya uchumi, historia , uongozi wa dola n.k

JamiiForums tunaleta habari kama ilivyo, ila baada ya kusoma tena thread na comments kuhusu thread hii, kuna ka ukweli juu ya mtazamo wako.

Maana mafanikio na juhudi za camarade Evo Morales ktk maendeleo ya vitu kama ujenzi wa miundo mbinu kwa gharama yoyote, uzalendo nambari moja wa kupigania wanyonge na vita dhidi ya mabeberu ni kama yanaakisi ya kwetu.
 
November 12, 2019
Mexico City.

Evo Morales aenda nje uhamishoni

Juhudi za kidiplomasia za nchi za Umoja wa Americas zamuwezesha Rais Evo Morales kuondoka kwenda Uhamishoni.

Nchi ya Mexico ilikubali kumpatia Rais Evo Morales haki ya kwenda kuishi uhamishoni baada ya Mexico kuhakikishiwa usalama wa maisha ya Rais Evo na ruhusa ya ndege ya jeshi la Mexico kutumia anga la Bolivia kumchukua Rais huyo kwenda uhamishoni.

Tangu Rais Evo Morales 'ajiuzulu' alikuwa amejichimbia katikati ya nchi ya Bolivia ktk sehemu ya Chaparé ambapo ni sehemu kunakozalishwa majani ya coca kwa wingi na wananchi wakulima wa coca wanamuunga mkono sera zake Evo Morales.

Mexico imesema imechukua jukumu hilo la kumpa haki ya kuishi uhamishoni kama mkimbizi Evo Morales kufuatana na mikataba na makubaliano ya nchi za Americas yaliyotiwa saini. Makubaliano hayo yalitiwa saini na kujulikana kama the Havana Asylum Convention of 1928 na the Diplomatic Asylum Convention yaliyosainiwa mjini Caracas mwaka 1954. Bunge na sheria za Mexico zinatambua makubaliano hayo ya nchi za Americas kuhusu wakimbizi chini ya kifungu cha political asylum in its Law on Refugees, Complementary Protection and Political Asylum of 2011. Kwa kuzingatia yote hayo Mexico imetumia utamaduni huo unaotamkwa ktk katiba ya nchi hiyo ndani ya article namba 15 ya katiba ya Mexico.



November 12, 2019
Mexico city

Mexico grants political asylum to Evo Morales

Mexico has granted political asylum to Evo Morales for humanitarian reasons following his resignation as president of Bolivia this Sunday, the result of protests and military pressures. This was reported by the chancellor, Marcelo Ebrard, who explained that asylum occurs after Morales has accepted the offer of the Government of Andrés Manuel López Obrador. Mexico has requested that guarantees be given so that Morales can leave his country. After the announcement by the Foreign Minister, a plane of the Mexican Armed Forces traveled last night to Bolivia to transfer to Evo Morales.

"Sisters and brothers, I leave for Mexico, grateful for the detachment of the Government of that brother town that gave us asylum to take care of our lives," the Bolivian leader tweeted shortly thereafter. "It hurts to leave the country for political reasons, but I will always be watching. Soon I will return with more strength and energy," he added on the social network shortly before taking off to the North American country. At 19.45 (02.45 in peninsular Spain), Ebrard confirmed that Morales was on the Mexican military plane.

Ebrard explained that the decision is given "by virtue of the urgent situation it faces in Bolivia, where [Evo Morales] life and integrity are at risk". The Government of Mexico, said the foreign minister, has contacted the Bolivian Foreign Ministry so that, "under international law, it may grant the corresponding safe-conduct and securities, as well as guarantees that Mr. Morales' life, personal integrity and freedom they will not be put in danger and that they will be able to put themselves in security. ”Since his resignation, Morales has taken shelter in the Chaparé, the coca zone of the center of the country, one of his main bastions, where he began his career as a union leader.

In the efforts to transfer Evo Morales to Mexico also participated the elected president of Argentina, Alberto Fernández, who during the presentation of a book in Buenos Aires thanked the Peruvian president, Martín Vizcarra, for his collaboration, reports Federico Rivas: "My gratitude to President of Peru, because he enabled Peruvian airspace so that a plane from Mexico can arrive to look for Evo, "Fernandez said. "He moved diplomatically to facilitate the arrival of that plane. We are still waiting for it to arrive and I hope it will arrive soon. Thanks to President Vizcarra. Peru is another country that often opened the doors to the needy and persecuted in Latin America," he added.

Mexico's decision is a shake of the political board of Latin America and the most decisive movement of the López Obrador Government regarding the region since he took office a year ago. Ebrard's announcement comes shortly after the White House celebrated Morales's resignation, which he said sent a message to the governments of Venezuela and Nicaragua.

“Latin America has witnessed in its history of unfortunate and violent events in which the constitutional order is broken and democratically elected authorities are forced to abandon everything to protect their life and security. On numerous occasions, on initiative, or with the participation of the Armed Forces, whose main task is to protect the democratic order, ”said Ebrard.



The chancellor has argued that Mexico “has been characterized by its tradition of asylum protection throughout its history. It has shown itself as an inclusive and supportive State whose doors have been open to those who have had the need to leave their countries due to political persecution and other causes. ” In this regard, the head of Mexican diplomacy has explained that the decision is based on the Havana Asylum Convention of 1928 and the Diplomatic Asylum Convention signed in Caracas in 1954. Mexican legislation also recognizes the granting of political asylum in its Law on Refugees, Complementary Protection and Political Asylum of 2011. "The tradition to which I refer is also based on article 15 of our Constitution.

"The granting of asylum is a sovereign right of the Mexican State that is consistent with its normative principles in foreign policy to protect human rights and respect the self-determination of peoples, the peaceful resolution of disputes and non-intervention," he insisted his statement Ebrard. “We have already made this decision to the knowledge of the Organization of American States, we will make it of the United Nations Organization invoking, according to international treaties and conventions, the international protection of life, freedom and integrity of Evo Morales, ”he added.

During the morning press conference of López Obrador, Ebrard had accused the Bolivian Army of "violating the constitutional order" by requesting the president's resignation this Sunday. The Mexican Government has also criticized the Organization of American States (OAS), who denounced irregularities in the elections of October 20, to remain silent before the pressures of the military and has assured that he will request an "urgent" meeting of the organism to find a way out of the political crisis that is going through that country. “We ask that the OAS set a position as soon as possible. No to silence, "said the president, Andrés Manuel López Obrador, at the press conference he offers every morning. The response of the OAS was not long in coming. A few minutes after the appearance of the Mexican Executive, the American organization issued a statement to reject "any unconstitutional exit" to the situation.

After Evo Morales denounced this Sunday that there was an arrest warrant against him, Mexico quickly positioned itself and offered asylum to the ex-president. Ebrard has not hesitated to describe what happened in Bolivia at once. The call for elections that Morales made early Sunday was, in the opinion of the chancellor, a first good gesture that aimed to "resolve disputes."

The departure of power from Evo Morales has shaken a region in permanent outburst in the last year. The forms, suffocated by popular protests and after pressure from police and military, have brought out the worst ghosts in Latin America. It is not surprising, then, that Mexico has described what happened in Bolivia as a coup d'etat, in line with what the former Brazilian president Lula da Silva said and, later, authoritarian governments such as Venezuela, where Nicolás Maduro, has left to defend one of its partners. Jair Bolsonaro, president of Brazil, limited himself to ironing about Morales' asylum: "I have a good country for him: Cuba."
Source: www.elpais.com
 
13 Nov 2019
Dar es Salaam, Tanzania

MORNING TRUMPET : Kujiuzulu Rais Morales wa Bolivia - Nchi za Afrika zinajifunza nini
Rais wa Bolivia Evo Morales alijiuzulu kufuatia shinikizo kutoka jeshi la nchi hiyo, baada ya shutuma kwamba ushindi wake katika uchaguzi uliopita ulipatikana kwa njia za ulaghai. Kiongozi huyo amekuwa akikabiliwa na maandamano ya umma, na ukosoaji kutoka jumuiya ya kikanda. Nchi za Afrika zinajifunza nini kufuatia kujiuzulu kwa Morales.

Source: Azam TV
 
November 12, 2019
Mexico city, Mexico

Evo Morales awasili salama Mexico

Evo Morales akiagwa dakika ya mwisho kabla ya kupanda ndege kuelekea uhamishoni Mexico
Video akiagwa kwa huzuni Bolivia:

Rais aliyelazimishwa kujiuzulu wa Bolivia amewasili salama nchini Mexico ambapo amepewa hifadhi ya kuishi uhamishoni kutokana na sababu za kisiasa political asylum.

Katika safari hiyo ya ndege kuhamia uhamishoni Rais Morales aliongozana na aliyekuwa Makamu wake wa Rais Bw. Alvaro Garcia Linera.

Mara ndege maalum ya jeshi la anga la Mexico ilipotua nchini Mexico, kiongozi huyo wa zamani wa Bolivia alitoa shukrani zake kwa serikali ya Mexico kwa kuweza kuokoa maisha yake na kumpatia hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa.
Video akiwasili nchini Mexico

Source: VOA News
 
Back
Top Bottom