Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Sijamaanisha kuwa hana akiliWewe jamaa, mbona iko sawa ? Hata wewe ungechagua shule, hospitali, viwanda, maji, umeme na barabara kuliko misikiti. Na Traore kasema misikiti ipo haina watu. Sasa hapo kichaa nani, wewe au yeye
Hii habari chanzo chake ni kipi na wewe umeihakiki vipi kujua ni ya ukweli?Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Propaganda na Uongo mkubwa ulioleta...Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Ulianza vizuri ila ulipotaja ugaidi (kwa maana ya kujengewa misikiti) umeharibuYupo sahihi kabisa naunga mkono Msaada mzuri ni kumsaidia vitu vya kujenga uchumi sio mambo ya Ugaidi
naongelea ofa za shetani allah huko peponi wanaume watapewa mademu 72 kila kchwa hao mademu watakuwa na macho kama vikombe viuno vipana kama kichwa cha scania na kila mtu atakuwa na mto wake unaotililika gongo na wanzuki.We unaongelea nini kwani
What???naongelea ofa za shetani allah huko peponi wanaume watapewa mademu 72 kila kchwa hao mademu watakuwa na macho kama vikombe viuno vipana kama kichwa cha scania na kila mtu atakuwa na mto wake unaotililika gongo na wanzuki.
Mwamba anajielewa sana. Tafsiri ya misikiti yote hiyo ni kwamba watu wasifanye kazi washinde misikitini tu na kuendelea kuwa masikini. Hongera kwake kwa kuukataa utumwa mambo leo.Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti.
TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake.
Badala yake amependekeza wapewe msaada wa kuwekeza katika kujenga Shule , hospitali au biashara vitu ambavyo vitaongeza ajira kwa raia wa Burkinafaso.
Sababu aliyoitoa ya kukataa msaada huo ni kwamba Burkinafaso ina misikiti ambayo haina watu wa kuswali humo,na jambo/lkitu cha msingi ambacho nchi yake inahitaji ni maendeleo ya kiuchumi.
Ni nini mtazamo wako.
Misikiti mingi ya kazi gani while iliopo haijai? This according to Traore, halafu kua na misikiti mingi kuna ongeza nini kwa wananchi na nchi? Misaada ya kutoka nchi za Kiarabu huaga ya kipuuzi sana yaani. Watu wana elea kwenye ufukara, unapeleka msikiti? Pumbafu, msikiti unaondoa au unaongeza umasikini?Traore kichaa!!!
msikiti ww huez kujenga mpk aje Saudia Arabia , huwa wanatucheka sana wakokaa pembenTraore kichaa!!!
Jibu weweMisikiti mingi ya kazi gani while iliopo haijai? This according to Traore, halafu kua na misikiti mingi kuna ongeza nini kwa wananchi na nchi? Misaada ya kutoka nchi za Kiarabu huaga ya kipuuzi sana yaani. Watu wana elea kwenye ufukara, unapeleka msikiti? Pumbafu, msikiti unaondoa au unaongeza umasikini?
Ndio kina naniwakokaa
Upumbavu tu; kama watu wanapenda dini yao why wajengewe nyumba za ibada? Wajenge wenyewe kama wanavyo fanya Wakristo, wao ndio wanajua kama wanahitaji misikiti au makanisa zaidi, sio jukumu la mtu wa nje kufikiria kuhusu hilo.Jibu wewe
SawaUpumbavu tu; kama watu wanapenda dini yao why wajengewe nyumba za ibada? Wajenge wenyewe kama wanavyo fanya Wakristo, wao ndio wanajua kama wanahitaji misikiti au makanisa zaidi, sio jukumu la mtu wa nje kufikiria kuhusu hilo.