Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa nani? Waziri wa Nini? Je, alishitakiwa Mahakamani na kukutwa na hatia? Je, huu ndio utaratibu mzuri wa kupambana na tatizo la ufisadi?
Umafia mwingine huu.Anaitwa nani? Waziri wa Nini? Je, alishitakiwa Mahakamani na kukutwa na hatia? Je, huu ndio utaratibu mzuri wa kupambana na tatizo la ufisadi?
Umesema ukweli kabisa mwamba!Hapo angekuwa yule waz aliyesema serikalini hakuna wizi anawekwa kati hapo na bakora zetu na zile kadi za usajili wa mabus ya esta zinawekwa hapo anasign zote ziwe za serikali... anakula bakora kisha lupango kifungo cha maisha
Sheria ni nini?Kama ni kweli hapo hakuna nchi tena bali raisi amegeuka kuwa nchi yenyewe.Maana watu wanafanya kazi ya sheria.wamegeuka kuwa sheria.
Ni udharirishaji full stop!
Hakuna njia nyingine nzuli zaidi ya hiyoAnaitwa nani? Waziri wa Nini? Je, alishitakiwa Mahakamani na kukutwa na hatia? Je, huu ndio utaratibu mzuri wa kupambana na tatizo la ufisadi
Hakimu ata Kula rushwa ata mtoa Africa pasipo ujpm Mambo hayaendiUmafia mwingine huu.
Kwanini asishtakiwe na kuhukumiwa na mahakama?
Sheria zilizopo zime simamia kuwa Linda majiziKama ni kweli hapo hakuna nchi tena bali raisi amegeuka kuwa nchi yenyewe.Maana watu wanafanya kazi ya sheria.wamegeuka kuwa sheria.
Ni udharirishaji full stop!
Rais Traore ni balaa sana. Juzi kati aliomba mkopo wa fedha kutoka Taasisi za kifedha kwa ajili ya kununulia matrekta ya uendelezaji kilimo, aliyanunua na kuyaweka uwanjani ili wananchi waende kuhakiki thamani ya fedha (value for money).Ikiwa hivi viongozi wata heshimu pesa za uma sio hapa kwetu fisadi Lina fisadi mkoa huu Lina amishiwa mkoa ule
Lina fisadi sector hii Lina hamishiwa sector ile
Inatakiwa liki fisadi Lina kabidhiwa kwa wanainchi Kama hivi Lina chezea kichapo ikiwezekana Lina uwawa kwa kichapo kabisa kwani Hilo ni jizi Kama majizi wengine
ndiyo, wakimaliza hapo akafungwe jela.Anaitwa nani? Waziri wa Nini? Je, alishitakiwa Mahakamani na kukutwa na hatia? Je, huu ndio utaratibu mzuri wa kupambana na tatizo la ufisadi?