Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

Hizi tawala za kijeshi mara nyingi haziamini sana katika hii mifumo yetu ya kisheria tulizorithi kutoka kwa wakoloni ambazo na zenyewe zimejaa rushwa na mtu aliyeiba fedha kama huyo huweza kutumia fedha hizo hizo kuhonga majaji na kushinda kesi.
 
Hapo angekuwa yule waz aliyesema serikalini hakuna wizi anawekwa kati hapo na bakora zetu na zile kadi za usajili wa mabus ya esta zinawekwa hapo anasign zote ziwe za serikali... anakula bakora kisha lupango kifungo cha maisha
 
Umesema ukweli kabisa mwamba!
 
Ikiwa hivi viongozi wata heshimu pesa za uma sio hapa kwetu fisadi Lina fisadi mkoa huu Lina amishiwa mkoa ule

Lina fisadi sector hii Lina hamishiwa sector ile

Inatakiwa liki fisadi Lina kabidhiwa kwa wanainchi Kama hivi Lina chezea kichapo ikiwezekana Lina uwawa kwa kichapo kabisa kwani Hilo ni jizi Kama majizi wengine
 
Rais Traore ni balaa sana. Juzi kati aliomba mkopo wa fedha kutoka Taasisi za kifedha kwa ajili ya kununulia matrekta ya uendelezaji kilimo, aliyanunua na kuyaweka uwanjani ili wananchi waende kuhakiki thamani ya fedha (value for money).
 
Back
Top Bottom