Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

Rais wa Burkina Faso Ibrahim Traore awapa wananchi ruhusa ya kumuadhibu waziri kwa ufujaji wa fedha za umma

SaRais Traore ni balaa sana. Juzi kati aliomba mkopo wa fedha kutoka Taasisi za kifedha kwa ajili ya kununulia matrekta ya uendelezaji kilimo, aliyanunua na kuyaweka uwanjani ili wananchi waende kuhakiki thamani ya fedha (value for money).
Yaah that's how viongozi Wana takiwa kuwa na kuongoza sio Hawa ndugu zetu huku kwetu
 
Kwa hiyo huyo rais kawa muendesha mashtaka na hakimu.
 
Back
Top Bottom