Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah propaganda Kama propaganda nyingine!
Yaah that's how viongozi Wana takiwa kuwa na kuongoza sio Hawa ndugu zetu huku kwetuSaRais Traore ni balaa sana. Juzi kati aliomba mkopo wa fedha kutoka Taasisi za kifedha kwa ajili ya kununulia matrekta ya uendelezaji kilimo, aliyanunua na kuyaweka uwanjani ili wananchi waende kuhakiki thamani ya fedha (value for money).
Ndio mtazamo wa watu wa dini Ile. Kupiga tu binadamu wenzako. Sijui ni kizazi cha nyoka gani hiki?