Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Sio uchawi wasikutishe,Yani wee acha tu,hadi nimeogopa kwanini niliandika hivo.Nipo ok namshukuru Mungu.
Uuwi watu wanasema me mchawi
Haya ulale Sasa kabla hujazua mengineyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio uchawi wasikutishe,Yani wee acha tu,hadi nimeogopa kwanini niliandika hivo.Nipo ok namshukuru Mungu.
Uuwi watu wanasema me mchawi
Siwezi zua umenikataza natekeleza.Vip u hali gn ww mama? Na wote wanaokuzunguka?Sio uchawi wasikutishe,
Haya ulale Sasa kabla hujazua mengineyo
Ndo maana nakupenda uko msikivu kweliSiwezi zua umenikataza natekeleza.Vip u hali gn ww mama? Na wote wanaokuzunguka?
Usijali,nitakusikiliza daima.Nitakuwa makini pia.Niko n
Ndo maana nakupenda uko msikivu kweli
Tuko njema shukrani sana
Ilikuwa prophecy au mazingaombwe?Nini mkuu?
Ulikuwa unasema? Dola imeshindwa kupambana na Israel?Hawezi,kufa Ni ngumu sana,yule Ni rais watapambana Sana apone
Imeisha hio mkuu.Dah! Yametimia tayari
Yametimia mkuu[emoji2]Hivi anaweza kufa ee?
Umetisha jombiiiii,RIP in Advance.
Imeisha hio mkuu,Corona si ya mchezo mchezo bob.Umetisha jombiiiii,
Hahahah, waleilete tu hiyo dollar bilioni moja, tuna mahindi ya kutosha kwa sasa 😂😂😂Corona tumeshaisahau,haitutishi tena tumewaachia wakenya na mkopo wa dola bilioni moja wailete kununua machungwa na mahindi