Tetesi: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona

Tetesi: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona

poleni warundi mazee dah! mbona hakupiga nyunguu..
 
COVID19 Kuna wengi inaowaondoa duniani kwa speed ya kutisha. Huyu alitangazwa kuwa na covid May 29 in less than 2 weeks imechukua uhai wake.
Huyu kapata alichostahili!Ni funzo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hujakosea hata, nimeshangaa tu ulivyouliza na kilichotokea,, hujambo lakini?
Yani wee acha tu,hadi nimeogopa kwanini niliandika hivo.Nipo ok namshukuru Mungu.

Uuwi watu wanasema me mchawi
 
Back
Top Bottom